Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikua bahati yangu, Mungu alipanga ukutane na mwingineSijui ulikuwa wapi enzi natafuta mtu wa Kanda ya ziwa nioe.
Wakati ndoa unapewa cheti kwanza mtihani baadae!Mungu akupe sawa sawa na haja ya moyo wako but naomba kuuliza , Degree yake itasaidia Nini kwenye ndoa ?😀😀😀
Tutafaulu hiyo mitihani🙏Wakati ndoa unapewa cheti kwanza mtihani baadae!
Ahsante sanaAll the Best