Mume na Baba wa familia anahitajika

Mume na Baba wa familia anahitajika

Sifa zote ninazo.
Je wewe una bikra zote?
Kwa maana ya mbele na nyuma?
 
Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.
NIko hapa Mama watoto
 
The sun is setting, now you are back to your senses. Where are those you used to make fun of when you were in your early and middle 20s??

Uliwakataa kwa sababu hawana swagger za born towns na wanavaa suruali za vitambaa na mashati ya vitenge kama waimba kwaya.

Umeanza kuwa "mshangazi" sasa unasumbua watu.

I wish you all the best though.
Thank you for your wishes
 
Habari!
Naitwa Lucha, mrefu mwembamba, white, miaka 28
Nahitaji friji used
 
Back
Top Bottom