Mume na Baba wa familia anahitajika

Mume na Baba wa familia anahitajika

Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.
Kanda ya ziwa kumechangamka, vigezo vyote ninavyo isipokuwa kimoja tu nacho ni mfupi(mluguru wa Mongwe)
 
Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.
Picha ni ya daraja la juu sana hiyo, tegemea kupata applications za onjaonja na dungadunga
 
Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.

Mtapigwa, msiseme hukuambiwa!
 
Kama utaweza kutupa hilo wigi na kuwa nachulo kichwani, njoo chap nikulishe madini unye utajiri. 😎

-Kaveli-
 
Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.
WANAUME HATUPENDI MAWIGI, POLE SANA SANA
 
Back
Top Bottom