Mume na Baba wa familia anahitajika

Mume na Baba wa familia anahitajika

Screenshot_20241218-074124~2.jpg
 
Kwa sisi tunaotaka kuongeza bimdogo tunaruhusiwa? Vigezo vipo.
 
Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.
Hivyo vigezo Niko navyo lkn subiri waje tu wenye moyo wa dhati🤔maana Mimi njaa ndio itafanya nikupende
 
UTANI;
Mwanamke miaka 33 kama alianza kuzagamuliwa akiwa 18 YO, maana yake amekuwa single kwa miaka 15. Kama kwa mwaka alikutana na wanaume at least wawili, we muoaji utakuwa wa 31. 😄😄😄
 
Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.
Njoo imbonbo
 
Back
Top Bottom