NGOSWE2
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 1,323
- 1,608
Moja ya kigezo kilichokufikisha hapo ni chaguzi.
Kuna vijana wako vizuri na ni wastaarbu ambao wanaweza kuishi na mke, wana biashara zao nzuri. Kiufupi maisha wameyashinda. Ila kigezo cha elimu hawana.
Wamewaajili wasomi unaowataka.
Punguza vigezo. Siku hizi pesa iko kwa wakulima, wafanyabiashara, wafugaji nk
Wanaishi kama wafalme.