City Owl JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 3,475 Reaction score 7,571 Jan 16, 2025 #181 Sijui ulikuwa wapi enzi natafuta mtu wa Kanda ya ziwa nioe.
G Gratefulheart Member Joined Dec 14, 2024 Posts 43 Reaction score 51 Jan 17, 2025 Thread starter #182 City Owl said: Sijui ulikuwa wapi enzi natafuta mtu wa Kanda ya ziwa nioe. Click to expand... Haikua bahati yangu, Mungu alipanga ukutane na mwingine
City Owl said: Sijui ulikuwa wapi enzi natafuta mtu wa Kanda ya ziwa nioe. Click to expand... Haikua bahati yangu, Mungu alipanga ukutane na mwingine
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Jan 19, 2025 #183 chalii wa ara said: Mungu akupe sawa sawa na haja ya moyo wako but naomba kuuliza , Degree yake itasaidia Nini kwenye ndoa ?😀😀😀 Click to expand... Wakati ndoa unapewa cheti kwanza mtihani baadae!
chalii wa ara said: Mungu akupe sawa sawa na haja ya moyo wako but naomba kuuliza , Degree yake itasaidia Nini kwenye ndoa ?😀😀😀 Click to expand... Wakati ndoa unapewa cheti kwanza mtihani baadae!
G Gratefulheart Member Joined Dec 14, 2024 Posts 43 Reaction score 51 Jan 20, 2025 Thread starter #184 Kimwakaleli said: Wakati ndoa unapewa cheti kwanza mtihani baadae! Click to expand... Tutafaulu hiyo mitihani🙏
Kimwakaleli said: Wakati ndoa unapewa cheti kwanza mtihani baadae! Click to expand... Tutafaulu hiyo mitihani🙏
G Gratefulheart Member Joined Dec 14, 2024 Posts 43 Reaction score 51 Jan 24, 2025 Thread starter #185 Numbisa said: All the Best Click to expand... Ahsante sana