Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mdomo tu mkuu sio kingine😂Yaan hizo kelele zinasababishwa na nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdomo tu mkuu sio kingine😂Yaan hizo kelele zinasababishwa na nini
😅😅😅😅😅😅😅 Nitakuita mkuu acha tulipe ada kwanza
AiseeHahahahah tuache tukae bar na vijiweni tu😅 maana wengine makofi yako jirani! Ukiambiwa nyamaza husikii unatarajia nini?
Mie simu tu huwa nakata kelele zikianza sembuse kukaa na redio mbao ndani?
Kama mtaji wako ni kumtomba vizuri mwanamke nakusihi badili akili maana wapo wanaotumia hadi mkongo lakini tabu iko pale pale!Tuishi nao kwa akili tu. Kumpiga mwanamke ni ishaya ya kwamba anakucontrol na maneno yake. Kama ana kero za hapa na pale unamweka wazi tu kwamba akishindwa kuwa na heshima arudi kwao. Ukisema utumie nguvu kupata heshima ya mwanamke, hatakuja kukuheshimu sanasana atakuogopa tu. Na ukimpiga mwanamke lazima atatafuta bega la jamaa mwingine la kulilia na kufutwa machozi, na atakuona unatumia nguvu nyingi kumkeep.
Kikubwa kuishi naye kwa akili kumuonyesha kwamba akishindwa kujua nafasi yake, atarudi kwao tu akaendelee na maisha mengine.
Sometimes pia, sisi wanaume ndiyo chanzo cha matatizo ya kifamilia, mwanamke hawezi kukupigia kelele kama wewe humtendei ndivyo sivyo, tujaribu kuwaelewa wanawake na kuheshimu mawazo yao yenye tija. Vilevile kelele nyingi za mwanamke zinatokana na kutomtoa nyege vizuri, tujifunze kuwat*mba vizuri wake na wapenzi ama wachumba zetu, utaheshimiwa haswa, maana sifa ya kwanza ya uanaume ni kutembeza rungu ipasavyo, yaani unamkuna mwanamke vizuri, mpaka mwenyewe anaridhika. Hata kama ukiyumba kiuchumi ukimt*mba vizuri mke wako atajifunza kukubumilia. Maana anajua akikupoteza huko kwingine ataenda kupapaswa tu na kuachwa na nyege.
Hali imekuwa segemnenge[emoji28][emoji28][emoji28]najuta kwanini sikuomba kipindi kile[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Nitakuita mkuu acha tulipe ada kwanza
Mdomo tu mkuu sio kingine[emoji23]
Pole sana ujumbe wa mwalimu unatisha wacha kwanza tumalizaneHali imekuwa segemnenge[emoji28][emoji28][emoji28]najuta kwanini sikuomba kipindi kile
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
poapoaPole sana ujumbe wa mwalimu unatisha wacha kwanza tumalizane
Hivi kumbe wewe ni mwanamke eeh😅 nikuulize tu wewe kwa mfano ukiahidiwa hela ya saluni halafu ikatokea hujapewa huwa unafanyaga nini kwa ndugu mjumbe😅???Sawa mdomo , anakua analalamika, anagomba au inakuaje
Hivi kumbe wewe ni mwanamke eeh[emoji28] nikuulize tu wewe kwa mfano ukiahidiwa hela ya saluni halafu ikatokea hujapewa huwa unafanyaga nini kwa ndugu mjumbe[emoji28]???
Hahahahahah najua muda wa ala za roho ndio malipizi fm stereo!😅[emoji28][emoji28]namkumbusha mara 1 nikiona hana muelekeo natulia ntasuka kwa hela yangu ila pa kumnyooshea napajua[emoji28]
[emoji4]Wanaume kelele zenu mnakuja kupigia jf, mnatuchamba hapa si kitoto....
Asante sana mkuu. Unajua Adam alizembea sana pale bustanini,kama angetoa nidhamu baada ya mke kula lile tunda tusingepata shida hizi za leo. Adam alikuwa mnyonge mno akakubali kushawishiwa na mkewe ndio imekua system ya dunia, mwanaume usipokuwa makini utaishia kuwa kama Adam na Samson.Kama mtaji wako ni kumtomba vizuri mwanamke nakusihi badili akili maana wapo wanaotumia hadi mkongo lakini tabu iko pale pale!
Mwanamke ni kiumbe korofi toka kuumbwa kwa dunia. Akili yake nahisi ina mfumo tofauti kidogo na wa kiume😅 hata Mungu mwenyewe aliona isiwe tabu akatufukuza Eden maana mwanamke unachomkataza asifanye yeye ndio anafanya sasa bora usimpe maagizo yeyote sababu ni mpuuzi!
Ukiwa Adamu tu hapa duniani umeishaAsante sana mkuu. Unajua Adam alizembea sana pale bustanini,kama angetoa nidhamu baada ya mke kula lile tunda tusingepata shida hizi za leo. Adam alikuwa mnyonge mno akakubali kushawishiwa na mkewe ndio imekua system ya dunia, mwanaume usipokuwa makini utaishia kuwa kama Adam na Samson.
Hahahahahah najua muda wa ala za roho ndio malipizi fm stereo![emoji28]
Ni kumpa kisogo tu ndugu MC na kumzimia mic![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ewaaaaaaa ko hata situmiii nguvu nyingi