Dah kama jamii tumefika huku basi miaka 50 ijayo kizaz chetu kitakuwa cha ovyo sana.. fikiria huyu ndo anakuja kuwa na watoto.. ambao ndo tunategemea wawe mhimili wa taifa
Kaka samahan ila kuna vitu huitaja hata kufikiria.. kitendi cha hilo jambo kulifikiria kias cha kuomba ushaur kinatia mashaka sana..
Kuanzisha familia ni hatua ya pili katika maisha ya mwanasam kabla ya kifo..
Sasa ww uoe ukakae na shemeji kweli yaan kwa mfano unakutana na mtu anakuuliza hv
MKWE WA MWACHI : Mwachi weekend tunaomba tuje nyumbani kuwasalimia ,
MWACHILUWI: Sawa Mama/Baba basi ngoja niongee na Dada kisha nitawajulisha
Dada wa Mwachi baada ya kuambiwa mama mkwe anataka kuja
DADA: ok sawa ila ongea na baba mwenye nyumba shemejio umuomne ruhusa
Dah mwachi unatuangusha.. kwan mmelelewaje jaman..