Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

Shemeji yako ameona una umri mkubwa na utazeeka bila mke, pili anataka kukuoa wewe, dada ako pamoja na mke wako mtarajiwa wote muwe mke walenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Helloww

Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
Kaka kwann ukatae wakati Ganda la ndizi Hilo tayari hapo muulize Kama unaweza kuongeza mke mwingine au huyo huyo
 
Kama uko Tayari owa kwa mipango yako sio kwa sababu umeambiwa.

Ila ni heri kuishi chumba kimoja kuliko kuishi kwa Shemeji na mkeo.
 
Back
Top Bottom