Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

Fanya hivyo (then) ATAKAPO-MCHOVYA utuletee mrejesho ili tukupe way forward !!
 
Watu wanaweza kuwa na tafsiri nyeuzi za Mila za zamani,za hovyo na za kijinga. Huyo Shemeji yako anakuchukulia kuwa Sasa ni sehemu ya familia yake. Anataka kukusaidia kwa mfumo wa SYMBIOSIS yaani Kila mmoja anufaike.

Ama ameona Maisha yako yanayumba mjini. Kumbuka watu wa kaskazini, wamejenga majengo makubwa mashambani na kuwa na miradi ya kilimo lakini nyumba hizo zipo wazi au wapo wazee kutokana na vijana wapo mjini wanachakarika. Hivyo kitendo Cha kukuambia uoe na kwenda kukaa kwao ni positive kwa Nia njema kabisa Cha kufanya mji uchangamke na wewe uendeleze Maisha yako kwa kuendelea kuchuma mawekezo ya shamba na mifugo
 
Watu wanaweza kuwa na tafsiri nyeuzi za Mila za zamani,za hovyo na za kijinga. Huyo Shemeji yako anakuchukulia kuwa Sasa ni sehemu ya familia yake. Anataka kukusaidia kwa mfumo wa SYMBIOSIS yaani Kila mmoja anufaike.

Ama amepona Maisha yako yanayumba mjini. Kumbuka watu wa kaskazini, wamejenga majengo makubwa mashambani na kuwa na miradi ya kilimo lakini nyumba hizo zipo wazi au wapo wazee kutokana na vijana wapo mjini wanachakarika. Hivyo kitendo Cha kukuambia uoe na kwenda kukaa kwao ni positive kwa Nia njema kabisa Cha kufanya mjini uchangamke na wewe uendeleze Maisha yako kwa kuendelea kuchuma mawekezo ya shamba na mifugo
Peke yako umetoa maon ya busar uko wapi ukunywe Jack Daniel leo
 
Helloww

Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae

Dah kama jamii tumefika huku basi miaka 50 ijayo kizaz chetu kitakuwa cha ovyo sana.. fikiria huyu ndo anakuja kuwa na watoto.. ambao ndo tunategemea wawe mhimili wa taifa

Kaka samahan ila kuna vitu huitaja hata kufikiria.. kitendi cha hilo jambo kulifikiria kias cha kuomba ushaur kinatia mashaka sana..

Kuanzisha familia ni hatua ya pili katika maisha ya mwanasam kabla ya kifo..

Sasa ww uoe ukakae na shemeji kweli yaan kwa mfano unakutana na mtu anakuuliza hv

MKWE WA MWACHI : Mwachi weekend tunaomba tuje nyumbani kuwasalimia ,

MWACHILUWI: Sawa Mama/Baba basi ngoja niongee na Dada kisha nitawajulisha

Dada wa Mwachi baada ya kuambiwa mama mkwe anataka kuja

DADA: ok sawa ila ongea na baba mwenye nyumba shemejio umuomne ruhusa

Dah mwachi unatuangusha.. kwan mmelelewaje jaman..
 
Kama wanaume ni Kama nyie bongo ,bandari waarabu washindwe kuimiliki ? Nmekutusi balaa
 
Back
Top Bottom