Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

Ase we jamaaa nimechekaa sana et sawa ngoja niongee na dada
 
usikubali hata kidogo kukaa kwa mwanamke maneno na utanyanyasika sana
 
Kimsingi shemeji yako kakuomba umuolee mke wa pili

Dada ako na mkeo watakuwa wanagongwa kwa kupokezana
Iko hivo yaani, mpaka unaambiwa uleo hapa kwangu.....anataka utelezi huyo, dada ako mauno feni hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…