Mume wa Maria Sarungi amtupia lawama moja kwa moja Rais Samia na vyombo vyake vya usalama

sasa mbona unafoka ila kyuma nyie dawa yenu inapoa mtainywa tu endeleeni na usyennge wenu wa kutekanatekana
 
Tatizo la sasa Mama Samia ni kama vile hana nguvu na kuna kihere here wengi sana usalama na wanapanga vitu inawezekana bila kutumwa. Sasa Mama akisikokuwa makini na hizi teka teka kuna wananchi wanaweza kulipiza visasi kwa hao ndugu wa wanasiasa .
Hana nguvu kivipi wakati kwenye idara zote zilizo nyeti ameweka watu wake?

Wengi sana walioteuliwa na Magufuli aliwaondoa.

Sasa anahujumiwa na watu ambao aliwaweka yeye mwenyewe.
 
Hakuna investigation wala nini… jamaa ameshaamua ni nani?

Hizi pesa Zina nguvu sana
 
Tatizo la sasa Mama Samia ni kama vile hana nguvu na kuna kihere here wengi sana usalama na wanapanga vitu inawezekana bila kutumwa. Sasa Mama akisikokuwa makini na hizi teka teka kuna wananchi wanaweza kulipiza visasi kwa hao ndugu wa wanasiasa .
Tatizo baits za akina maria na wenzake nk too low for Mh samia

Hakutupuki na hiyo inawachanganya sana wapenda drama maana wameshavuta pesa za watu

Ogopa sana a woman…. They approach things differently and in many issues hapa bongo she has mastered them very well
 
Kwa mujibu wa mume wa Maria, Maria alikuwa ameenda kutengenezwa nywele.

Sasa sijui ni kwamba hawakumaliza kuzitengeneza kabla hajatekwa au walimaliza lakini alipotekwa, hao watekaji wakazivuruga?

Maana kwenye hii picha baada ya yeye kupatikana, zinaonekana hazijatengenezwa [at least to my untrained eye].

Tatizo la sasa Mama Samia ni kama vile hana nguvu na kuna kihere here wengi sana usalama na wanapanga vitu inawezekana bila kutumwa. Sasa Mama akisikokuwa makini na hizi teka teka kuna wananchi wanaweza kulipiza visasi kwa hao ndugu wa wanasiasa .
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…