Mume wa Maria Sarungi amtupia lawama moja kwa moja Rais Samia na vyombo vyake vya usalama

Hatujasikia Mbowe akilaani kutekwa kwa Sarungi. Mbowe ana matatizo sana, anamsapoti muuaji Samia nje ya pazia, shida ya viongozi wenye elimu duni. Yuda Iskarioti wa Machame.
 
Wameota mapembe mpaka wanakwapua watu nchi za nje...jana niliona Video kidogo wafumuliwe maana wakenya walitaka kuwablock wakafanikiwa kupenyeza na kukimbia...yaani badala ya kutufungulia uwekezaji na ajira huko nje...mnadaka watu eti kisa hamtaki kukosolewa ? Yaani tuwachague sisi, tuwalipe mishahara sisi kwa kodi zetu alafu tushindwe kuwakosoa? Yani kweli baba ashindwe kumkaripia mwanae kisa nini ?
 
Matukio kama haya yanakumbusha kuwa binadamu hatufanani hivyo wakati unafanya uhanaharaki wako uchwara jiulize, ukitekwa kama Maria, itachukua muda gani habari kusambaa?
 
Tanzania itatoa tamko juu ya kadhia iliyompata huyu
Nadhani ukimya wa serikali una manufaa. Kama ukimya wake umewezesha Kuu ngebe za Kabe na kitabu chake seuze za hii propaganda ya wazi!!!
 
Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na wahuni waliopo kwenye vyombo vyake vya dola/ usalama.
Ndio lengo zima la hiyo sinema iliyoandaliwa na hao wazungu. Kuichafua serikali inayokuwepo madarakani.

Wanakimbilia kwenye hitimisho bila ya kwanza kuweka hadharani ushahidi wenye kujitosheleza wa namna serikali inavyohusika na huo unyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…