Muwa mtamu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 847
- 1,599
Oooh utakuta kuna mwamba analoweka hapa bila kinyaa.Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Mliwahi kukubali kitu hata ikutwe kiwanda cha h"IMOOOO"?A
Aka sitaki mume wa mtu mbona
Siyo kila kitu upewe hela.Wengine hufuata kujifunza styles mpya,kufundishwa kuwa na pumzi na kupigwa machimbo taff!Kwani wanaume wa watu wote wana pesa wengine wamechokaaa mpaka viatu tu hawabadili kila siku kazini kiatu kimoja
Where are you ?Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Sawa sawa ?you are very right, hakuna mume wa mtu kuna mke wa mtu tu
Hivi ni kwanini mwanamke akisikia au ukijua wewe ni mume wa mtu anakata tamaa aniKaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Malengo ni kuplewa mkuuHivi ni kwanini mwanamke akisikia au ukijua wewe ni mume wa mtu anakata tamaa ani
😅😅Kwa Niaba ya sisi waume za watu tunaochepuka.
Sisi ni kweli hatuwezi Kuoa Wanawake wa pembeni.
Ila tunaweza kuzaa nao, tukawahudumia, tukasomesha watoto Wetu .
Lkn kubwa zaidi, sisi tunakuaga Washikaji, marafiki wazuri katika shida na rahaa
Kwani huwaga wanasema wanataka?A
Aka sitaki mume wa mtu mbona
Awape pole kivipi wakati mnaowaharibu hao wanawake ni ninyi wenyewe kwani huwa wanafanya na viumbe kutoka sayari nyingine, huyu Mungu siyo ya wanaume tu na muache kumsumbua kwa ujinga wenu ana kazi nyingi za kufanya, Karma is real and you get served what you deserveOooh utakuta kuna mwamba analoweka hapa bila kinyaa.
Mungu atupe pole wanaume
Kulikoni Tena?Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Huyo ni Rambo kwenye pichaKulikoni Tena? View attachment 2624430
Hivi huwa tuna baka?Awape pole kivipi wakati mnaowaharibu hao wanawake ni ninyi wenyewe kwani huwa wanafanya na viumbe kutoka sayari nyingine, huyu Mungu siyo ya wanaume tu na muache kumsumbua kwa ujinga wenu ana kazi nyingi za kufanya, Karma is real and you get served what you deserve
Wahenga waliposema "Nguo ya kuazima, haisitiri mwili" walikuwa hawaongelei nguo pale.Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Ungeandika kuwa uzi wako ni wa kukekikeKaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Figo, una sentensi za kumtoa mume wa mtu kwa mkewe. Naomba ruhusa ya pm tafadhali.A
Aka sitaki mume wa mtu mbona