Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

zinaitwa siasa za kanisa. mimi huwa sijisikii vibaya nikikosa kwenda church mara mfululizo maana we acha tu huku kwetu Catholic bora mapadri waruhusiwe tu rasmi kuoa.

Nakubaliana na wewe kaka Matola yaani viongozi wa karne hii wengi kama sio baadhi ni shida tupu humu nyumba za ibada!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Flora Mbasha alikuwa na mchumba anaitwa
Imma Lugisha huko Mwanza kabla hajaja Dar
akiwa amechumbiwa tayari Wiki mbili kabla ya
kufunga ndoa Flora akapata safari ya kwenda UK
ambako wenyeji wake walimshauri kwamba kwa
uzuri wake atapata Mume mzungu mwenye pesa
kuliko Imma yule wa Mwanza. Ili kumkimbia
Imma Flora na familia yake wakamtengenezea
ishu Imma mchumba wake kwamba ana Ukimwi
kwa hiyo Flora hawezi kuolewa naye, mpaka leo
Imma hajawahi kuoa tena na wala hana hamu
kumbe hili la kumsingizia Mumewe kumbaka
mdogo wake hakuna jipya kwa wanaomjua vizuri
ila ilikuwa tu the matter of time kabla hanaswa!!
 
chezea ndoa ikigeuka kuwa ndoano,yaaani mke wachukue na jela wakusweke....nilimuona huyo binti anaedai kabakwa kajianika facebook,mapaja nje nje.....na alivyobakwa siku ya kwanza mbona hakukimbilia police au kumuambia flora mpaka akasubiri mara ya pili jumapili ndio akasema....this is a set up flora kama anataka kuvunja ndoa yake kwa kupata kipya kinyemi aivunje tu lakini sio kumchafulia jina na kutaka kumsweka rupango...this is not fair jamani..duh! wanawake jamani..
 

Huyo dada wa fb sio mdogo wa flora jaman
 
....ni yupi sasa picha inatrent kwenye blogs mbali mbali wakisema ni yeye...kama sio yeye basi tuwekee ambae ni yeye halisi

ndicho wanachonikera wabongo, unapopinga picha hii ni batili ni jukumu lako mpingaji kuleta picha sahihi ili watu wafanye comparison na ukweli uchukuwe nafasi yake.

sasa jitu linakurupuka kupinga bila kusubmit evidence huu si ni ukichaa?
 
....ni yupi sasa picha inatrent kwenye blogs mbali mbali wakisema ni yeye...kama sio yeye basi tuwekee ambae ni yeye halisi

We elewa, kwani ikieneo kwenye ma blogs ndo nn?, huyo dada sio na wala hana undugu na florah inshort hawajuani, watu tu wanataka wapate vya kuongea.
 
nilichojifunza ni kwamba hata siku moja usidiriki kumfanya mwanamke malaya kuwa mke wa ndoa.
 
ndicho wanachonikera wabongo, unapopinga picha hii ni batili ni jukumu lako mpingaji kuleta picha sahihi ili watu wafanye comparison na ukweli uchukuwe nafasi yake.

sasa jitu linakurupuka kupinga bila kusubmit evidence huu si ni ukichaa?
Hata mimi nimemshangaa,yeye anapinga wakati hajaleta hata picha ,kama kweli anajua sio yeye basi amlete au mdiscribe basi hata kidogo huyo umjuaye....na huyu atuambie ni nani au kama hamjuii basi akae kimya milele
 
Wanatisha kwa hilo..japo wanatumia mgongo wa Mungu kujificha....me nna ndg yangu mlokole haswaa kabeba mimba nikashangaa si mlokole wewe...sijui imeingilia puani via maombi
Unadhani na wao hawana hamu ya kula muhogo wa jang'ombe na kumwagiwa kwa ndani kabisa kwenye kijiupele?
 
nilichojifunza ni kwamba hata siku moja usidiriki kumfanya mwanamke malaya kuwa mke wa ndoa.
Mkuu ni heri ya malaya anayeuza kwa uwazi Sinza akiolewa anaweza kutulia kuliko Malaya wanaouza kimya kimya mitaani kama Flora huwa hawachi hata wakiolewa wataendelea kutoa kimya kimya tu.....
 
Wahenga walisema, "ukitaka kuona mkuundu wa kuku subiri upepo upite". Upepo ndio huo umepita na bado mengi yatafunuliwa.....

Pole yako Flora na familia yako mmeumbuka...
 
Mkuu usihukumu kwa kuwajumuisha waimbaj wote wa injili wapo kibiashara.ni kwel kuna baadh ya waimbaj wapo kimaslah lakin kuna waimbaj wa injili wengi wanamtukuza Mungu ktk roho na kwel baadh yao ni Mchungaj Abiud,Paul Mwai na wengine weng.

Waibaji wa injili wote ni malaya hata hao uliowataja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…