Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Hii radio uliisikia wewe tuuuu??
 

Kumbe flora alihama alikokuwa anasali Miito ya baraka akaenda kwa Gwajina?
Kwanini?
 
Halaf ni chadema. Ndio maana ni mzinifu. Mbowe na mke wake waliachana kama hivi.

Lini uzinifu ukahusishwa na chama...kama ni hivyo komba alikuwa anafanya nini vibinti na kujipiga picha
 
Ninachojua mimi pdidy anafanya kazi eapoti na anasali kwa Gwajima.
 
Jamaa anatafuta Sympathy kwenye media?,. Atulie kwanza na hii habari kwani ishakuwa exposed vya kutosha!!

Apange maisha yake kama mkewe kaamua kumuacha,. Life is too short haina haja ya kuishi na stress,.
Sio sympathy mkuu,mtu anataka kukumiminia mvua 30we unafkiri ufanyeje kama sio kumuwahi kwa stahili hiyo.
 

Porojo Zako Zina Mapepo Ndan
 
Nimejikuta nacheka, nilikuwa natafuta post kama hii. Huyo jamaa uandishi wake huwa ni balaa.

pdidy hawezi kunyoosha maelezo hivi hata siku moja, hii atakuwa kaicopy kutoka kwenye blog na kupaste hapa. I bet $100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…