Gwajima anakula mzigo. Flora ni malaya. Pia naskia hadi mbowe wa chadema pia anamchukua.
Gwajima ni mzinifu mbobezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima anakula mzigo. Flora ni malaya. Pia naskia hadi mbowe wa chadema pia anamchukua.
Nimejikuta nacheka, nilikuwa natafuta post kama hii. Huyo jamaa uandishi wake huwa ni balaa.Walau Leo umeandika vizuri
Hii radio uliisikia wewe tuuuu??Wakati sakata la flora likiendelea na bwana wake
mh mbasha amefunguka kwenye redio na kusema anasikitika sana mkewe kutaka kumfunga ili
aendelee na uhuni wake na m h mmoja ambae anasema ni kigogo serikalini
wakati wengi wakiongea mara gwajima mara nani...mr mbasha amefunguka na kusema
anajua mchezo mzima na aliepanga hilo na akasema hata akifungwa miaka 30 akitoka
ni lazima afe na huyo kigogo liwalo na lile
mh mbasha akaenda zaidi na kusema zamani mkewe amekuwa akitongozwa na wakubwa na
kumwambia mtu fudenge anataka tunda lake lakini tangu alipoanza kutukanana nae
kuhusu huyo kigogo ameamua soln ni kumnyima tunda na sasa ameamua amfunge ili aendeelee
na uhuni wake
naamini mh gwajjima atapumzika kwa statement hiyo na wengine waliohusishwa na flora
nilisema na nitarudia tena sakata zima la flora na mumewe ni wawili tu ndio wanajua
src na upumbavu unaoendelea juu yakee
akafunguka mtoto huyo wanaesema nimembaka nimemtoa mwenye kijijini na hata wanavyosema
ana miaka 17 si kweli ..waende shule aliyosoma ama waangalie kadi yake ya kuzaliwa ana miaka 19
ujue hata mchezo wanaocheza awana uhakika wanachoongea
mwisho wa siku nawaambia watanzania mungu yupo na ukweli utafika utajulikana na mungu atajiidhihirisha kwa hili
ahsanten
nanukuu mbasha alivyoaga so sad kwa waliosikia hili
Nisije nikasutwa sijasema uhusiano wa kimapenzi...
Uhusiano ni Gwajima kumhamishia Flora GEST, kumpa cheo kikubwa kanisani, kumpeleka chuoni Uingereza na kumtembelea mara kwa mara, kuzunguka naye kwenye mikutano nchi nzima. Yote hayo AMESAIDIA huku mumewe Flora amebaki nyumbani.
Gwajima ni mzinifu mbobezi
Sony ......!!Hiyo ni radio gani?
Sony ......!!
Sony ......!!
Halaf ni chadema. Ndio maana ni mzinifu. Mbowe na mke wake waliachana kama hivi.
Sasa mtu anauliza redio gani utamjibu nini?hahaahaaha
Sony ......!!
hebu wekeni picha ya huyo sijui gwajima mimi namsikia tu
Sio sympathy mkuu,mtu anataka kukumiminia mvua 30we unafkiri ufanyeje kama sio kumuwahi kwa stahili hiyo.Jamaa anatafuta Sympathy kwenye media?,. Atulie kwanza na hii habari kwani ishakuwa exposed vya kutosha!!
Apange maisha yake kama mkewe kaamua kumuacha,. Life is too short haina haja ya kuishi na stress,.
Mbasha umetishwa na genge la Gwajima eh. ......unataka kubadili uelekeo wa sinema.
Umepewa pesa na Gwajima? Usiuze utu wako philosophy kuwa Gwajima ni masihi Mungu ndo atadeal naye ndo chanzo cha ufuska na tamaa za Gwajima kwa wake za watu. Wasikudanganye kesi itaisha ukibadili uelekeo - sema ukweli.
Gwajima kavunja ndoa nyingi kwa kisingizio cha nafasi aliyonayo kanisani kwake na kutokuambiwa ukweli si na mke tu kwani hata washauri wanaomzunguka. Aibu kwa kanisa. !
Nimejikuta nacheka, nilikuwa natafuta post kama hii. Huyo jamaa uandishi wake huwa ni balaa.