Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Wote mnaozua huu uzushi ni mahasimu wa Flora Mbasha.

Mleta mada unapodai waumini wa kilokole wamepokea suala hilo kwa uzito mkubwa, hao walokole ni pamoja na we we? Kama sivyo nani amekupa mamlaka ya kuwalisha walokole takribani milioni 11 kuwasemea kuwa wamepokea suala hilo kwa uzito mkubwa? Acheni uzushi kama hamumpendi Flora na maendeleo yake hamumpendi tu!
 
Hakuna kesi hapo. Zaidi watapoteza muda na hela tu mahakamani na kwa mawakili.
 
Kufuatia kukumbwa na kashfa nzito ya kudaiwa kutembea na kiongozi mkubwa wa kanisa pamoja na kutaka kushiriki katika njama za kumfunga mume wake, waandaaji wa huduma na mikutano mbalimbali ya kilokole, wanasema hawamuhitaji tena Flora Mbasha katika mikutano yao.. Hoja yao ni kwamba, waumini wa makanisa ya kilokole wamelipokea suala la kashfa ya Flora kwa uzito mkubwa sana na amekosa kibali cha Bwana machoni pao..Hii ni changamoto kubwa sana kwa Flora Mbasha na kama kinachosemwa kina ukweli ndani yake basi hana budi kukaa vizuri na Mungu wake.

source.
 
Walokole kwa uzinzi na majungu

Mi naona bora walokole wanakulana watu wazima kuliko mapadri wakatoliki wanaolawiti watoto wadogo. Mi kwangu kama wanakulana ila watu wazima sina shida nao,ila wale wanaohujumu watoto wadogo ni hatari zaidi.
 
Attachments

  • 1401905837665.jpg
    1401905837665.jpg
    31.8 KB · Views: 461
Mi naona bora walokole wanakulana watu wazima kuliko mapadri wakatoliki wanaolawiti watoto wadogo. Mi kwangu kama wanakulana ila watu wazima sina shida nao,ila wale wanaohujumu watoto wadogo ni hatari zaidi.

Hebu tutajie hao mapadri waliolawiti watoto wadogo hapa Tanzania maana walokole wazinzi tena wachungaji wakuu tunawajua Gwajima na Mwasumbi... Ongea na mifano sio maneno matupu, au leta hata ushahidi wa kimazingira
 
Wote mnaozua huu uzushi ni mahasimu wa Flora Mbasha.

Mleta mada unapodai waumini wa kilokole wamepokea suala hilo kwa uzito mkubwa, hao walokole ni pamoja na we we? Kama sivyo nani amekupa mamlaka ya kuwalisha walokole takribani milioni 11 kuwasemea kuwa wamepokea suala hilo kwa uzito mkubwa? Acheni uzushi kama hamumpendi Flora na maendeleo yake hamumpendi tu!

Tanzania hakuna walokole milioni 11, asilimia 90 ya waumini wa makanisa ya kilokole ni wajane, then nani atakubaliana na wewe kuwa Tanzania kuna wajane zaidi ya milioni kumi, tena hapo hujajumuisha waislam na madhehebu mengine. Uongo huu unaendana na uzinzi wa wachungaji wenu.
 
Hebu tutajie hao mapadri waliolawiti watoto wadogo hapa Tanzania maana walokole wazinzi tena wachungaji wakuu tunawajua Gwajima na Mwasumbi... Ongea na mifano sio maneno matupu, au leta hata ushahidi wa kimazingira

Ina maana hujui kua mapadri wanalawiti watoto wadogo? Mapadri karibu ulimwenguni kote wanalawiti watoto,hata papa amekiri hilo kua mapadri ndio wanaongoza kwa kuwadhulumu watoto wadogo,wao ni hatari maana wanaharibu kizazi cha kesho..
 
Jamaa anajitoa ufahamu huyo ameshasahau yule padri aliyefungwa segerea kwa kosa kulawiti mtoto chini ya miaka 18 ndani ya gari lake maeneo ya chuo kikuu udsm kwa sasa ni eneo la mlimani city enzi hizo kulikuwa na dampo
 
Ina maana hujui kua mapadri wanalawiti watoto wadogo? Mapadri karibu ulimwenguni kote wanalawiti watoto,hata papa amekiri hilo kua mapadri ndio wanaongoza kwa kuwadhulumu watoto wadogo,wao ni hatari maana wanaharibu kizazi cha kesho..

Mbona mashekh nao wanabaka watoto wadogo nakulawiti !

Ilihali wameruhusiwa kuoa wake watatu sijui akili zao zikoje !

afrokija: Sheikh abaka mtoto wa miaka 8
 
Mbona mashekh nao wanabaka watoto wadogo nakulawiti !

Ilihali wameruhusiwa kuoa wake watatu sijui akili zao zikoje !

afrokija: Sheikh abaka mtoto wa miaka 8

Mimi binafsi na kwa mtu yeyote mwenye akili watu wanaolawiti watoto wadogo ni hatari sana bora kina gwajima wanakula mamtu mazima yanayojitambua.

Mtu yeyote awe padri au shehe anaewadhulumu watoto ni mbaya sana. Mimi watoto wangu ntawafundisha dini mwenyewe kuliko kuwapelekea mapadri na mashehe wakawalawiti. Wakiwa wakubwa wajipeleke wenyewe kwa kina gwajima. Ila vinginevyo i will be the pastor of my kids.
 
Huu mtazamo wangu tuu Flora sio malaika kwa hiyo asihukumiwe kama muuwaji kila mtu dhaifu.
 
Umenikumbusha kile kibao cha 'Namlilia Malebo' alichoimba Munishi.

"Siasa na Dini Pamoja ni kama Mafuta na Maji , Ukijaribu kuchanganya wala havichanganyiki" ohooo Umenikumbusha Long Time ...Jamani
 
Muimbaji INJILI Tz alikuwa Munishi tu, wengine wote wanacheza makida makida...

Mkuu usihukumu kwa kuwajumuisha waimbaj wote wa injili wapo kibiashara.ni kwel kuna baadh ya waimbaj wapo kimaslah lakin kuna waimbaj wa injili wengi wanamtukuza Mungu ktk roho na kwel baadh yao ni Mchungaj Abiud,Paul Mwai na wengine weng.
 
nyie ndo mmefundishwa kusamehe saba mara sabini? inamaana frola kashamaliza hiyo saba mara sabini?
 
Back
Top Bottom