Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio wale majambazi wa bongo movie wa kuvua viatu wasichafue kapet. Jambazi anaejua kazi yake hawezi fanya upumbav wa kugonga geti kuomba afunguliwe
Bas siku iz anajiona malkia kila sehem yeye, na angekuwa mzur sasa, sura nzito kama tope la uyole
Mkuu umetisha, nimecheka mpaka basi.
Sijawahi tia maguu uyole, hivi kuna tope zito sana?
Kaka jambazi huyu alikuwa mstaarabu!!!
Bidada ame justify kuhamia kwake hotelini sasa,hategemei maswali zaidi!!
SNAP J,,atakuja na wimbo"Nampenda mtumishi wa Mungu",just joking!!Hahaaa hizo tuhuma za kutembea na huyo anayejiita mchungaji ni za ukweli,basi mbinguni ni mbali sana!Nangojea wimbo mpya wa haya yote
Nangojea wimbo mpya wa haya yote
labda ni maskin sana so kwao hakuendeki..kumbuka watu wengi wanajidai dar ila makwao walikotoka nyumba za udongo mbavu za mbwa....all in all mkataa kwao mtumwa.Huyu kwanini anaishi Hotelini,mi navyojua wanawake wengi wakizinguana na waume zao wanaenda kwanza nyumbani kwa wazazi
Flora flora kıla sıku flora, hu the hell ıs she?
Flora flora kıla sıku flora, hu the hell ıs she?
Hivi Frola ni kabila gani ?
Msukuma
Msukuma fake huyo wasukuma hatuna tabia mbaya hivyo tutakosana binamu