Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Hao ndio wale majambazi wa bongo movie wa kuvua viatu wasichafue kapet. Jambazi anaejua kazi yake hawezi fanya upumbav wa kugonga geti kuomba afunguliwe
 
Hao ndio wale majambazi wa bongo movie wa kuvua viatu wasichafue kapet. Jambazi anaejua kazi yake hawezi fanya upumbav wa kugonga geti kuomba afunguliwe

Kaka jambazi huyu alikuwa mstaarabu!!!
Bidada ame justify kuhamia kwake hotelini sasa,hategemei maswali zaidi!!
 
Bas siku iz anajiona malkia kila sehem yeye, na angekuwa mzur sasa, sura nzito kama tope la uyole

Mkuu umetisha, nimecheka mpaka basi.
Sijawahi tia maguu uyole, hivi kuna tope zito sana?
 
Mkuu umetisha, nimecheka mpaka basi.
Sijawahi tia maguu uyole, hivi kuna tope zito sana?

Nimefika uyole, anatuchosha tu na yeye apa, nasikia yupo dodoma kikaz bungen dodoma , chezeya mh first class
 
Huyu dada hajiamini kuna kitu alimganyia mr mbasha kwa nn asiweke wazi, mwanamke ni nyoka sikuzote, usitegemee mwanamke hawatabiliki
 
Nilisema toka mwanzo kabisa mara baada ya stori ya ubakaji kutoka,nikasema kuwa ninamashaka nayo na wengi walishambulia!Simjui Frola wala Mumewe zaidi tu ya kuona nyimbo zake!

Huu ni upuuzi mwingine tunataka kudanganywa,Frola acha usanii,hizo tuhuma za kutembea na mtumishi wa Mungu kama ni za kweli,muombe Mungu msamaha kwa hizo dhambi zako,mtafute mumeo tena kimya kimya muombe msamaha,yaishe, jengeni familiya yenu!

Huwezi kudanganya watu wazima eti watu wamekuvamia nyumbani kwako wakiwa na nia kabisa alafu eti wanaishia kugonga mlango,tena wa geti la nje!Hii wadanganye watoto!Hahaahaaaa,jipange tena!!

Nawachukia sana #Wanafiki ,,watu wanaojifanya eti wameokoka kumbe ni chui ndani ya ngozi ya mwanakondoo!
 
Nangojea wimbo mpya wa haya yote
SNAP J,,atakuja na wimbo"Nampenda mtumishi wa Mungu",just joking!!Hahaaa hizo tuhuma za kutembea na huyo anayejiita mchungaji ni za ukweli,basi mbinguni ni mbali sana!
 
Last edited by a moderator:
Huyu kwanini anaishi Hotelini,mi navyojua wanawake wengi wakizinguana na waume zao wanaenda kwanza nyumbani kwa wazazi
labda ni maskin sana so kwao hakuendeki..kumbuka watu wengi wanajidai dar ila makwao walikotoka nyumba za udongo mbavu za mbwa....all in all mkataa kwao mtumwa.
 
Back
Top Bottom