Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haka kashe kaongo af kanaleta mambo ya dini hakajui katazua taharuk mtandaonKaolewa mwaka pili kaletewa mke mwenza mwaka wa tatu sasa. Tupe na vitafunio kabisa
AhaaNa hii ya kuoa mke zaidi ya mmoja hata wanawake wenyewe hawakubaliani nalo.
Adamu alipewa mke mmoja tu na Mungu. Unafikiri kwanini Mungu hakumpa Adamu mke zaidi ya mmoja?
Baada ya binadamu kujaa na tamaa na kuona amri za Mungu ngumu wakaanzisha imani inayowapendeza wao.
1. Binadamu akaanza kuoa mke zaidi ya mmoja
2. Kufanya urafiki na majini
FafanuaHata ukristo unaoa tu wake wengi, mliobaki bado hamjaamua
Wanatakiwa wakae mbali mbali tena asichukue hata kijiko kupeleka kwa bi mdogo.Waanze upya na maisha ya bibi mpyaHujanielewa kwanini mnaoa leo kesho talaka halafu mnajaza wanawake nyumba moja??
Anhaa! Sawa sasa nimeshakuelewa, ujue nilikuwa napata taabu kuelewa ulichokiandika! Hatahivyo nasikitika kwakuwa nimeshakupuuza na uzi wakoMwambie dini yetu ni mke mmoja , mme mmoja na ndio vizuri sisi sio wajinga sasa wao wanawajaza mwisho karaha bhana .
Heshima nikitu cha bure
Wajameni kati ya kitu ninachoogopa ni kubadili dini niwe muislamu. Na ndoa yao imefunguliwa. Ipo kirahisi sana. Unaolewa leo kwa gharama kubwa akimaliza haja zake anakupa talaka tatu.
Hapo mashosti wanakucheka umeachwa unashangaa. Juzi nilienda kwa shosti yangu kaolewa huu ni mwaka wapili mie nikazani anaraha . Kumbe nikaraha huyo mwanamme alimsilimisha akawa muislamu. Halafu akapata watoto naye .
Baada yakupata watoto wakike hao ni mapacha. Akanza vitimbi akaoa bila ya ridhaa yake. Akamleta mke wa pili sasa wapo wawili . Huu ni mwaka watatu yupo humo ndani kwenye chumba chake. Sasa huyu baba anaoa tena wiki ijayo na atamleta mke ndani.
Hivi shida huwa nini?
Niambieni jamani?
Akaanza vitimbi
Mkuu mbona bandiko lako umeandika kwa haraka sasa yupo kwa mumewe huu mwaka wa pili au 3.Naunahakika huko ulipo upo peke yako.Wajameni kati ya kitu ninachoogopa ni kubadili dini niwe muislamu. Na ndoa yao imefunguliwa. Ipo kirahisi sana. Unaolewa leo kwa gharama kubwa akimaliza haja zake anakupa talaka tatu.
Hapo mashosti wanakucheka umeachwa unashangaa. Juzi nilienda kwa shosti yangu kaolewa huu ni mwaka wapili mie nikazani anaraha . Kumbe nikaraha huyo mwanamme alimsilimisha akawa muislamu. Halafu akapata watoto naye .
Baada yakupata watoto wakike hao ni mapacha. Akanza vitimbi akaoa bila ya ridhaa yake. Akamleta mke wa pili sasa wapo wawili . Huu ni mwaka watatu yupo humo ndani kwenye chumba chake. Sasa huyu baba anaoa tena wiki ijayo na atamleta mke ndani.
Hivi shida huwa nini?
Niambieni jamani?
Akaanza vitimbi
Mfano sisi ktk Qur'an. Allah kasema oweni ktk wanawake mnao wapenda kuanzia wawili watatu au wanne tu! Namkihofia kuwafanyia ihsan basi oweni mmoja.Marko 10 :4-12
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁴ Wakasema, Musa alitoa ruhusa kuandika hati ya talaka na kumwacha.
⁵ Yesu akawaambia, Kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwaandikia amri hii.
⁶ Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, aliwafanya mume na mke.
⁷ Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe;
⁸ na hao wawili watakuwa mwili mmoja; hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.
⁹ Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.
¹⁰ Hata nyumbani tena wanafunzi wakamwuliza habari ya neno hilo.
¹¹ Akawaambia, Kila mtu atakayemwacha mkewe na kuoa mwingine azini juu yake;
¹² na mke, akimwacha mumewe na kuolewa na mtu mwingine, azini.
1 Wakorintho 7:1-3
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
² Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
³ Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
Mwanzo 2:24, Mathayo 19, waefeso 5:31.
Wajuzi zaid watakuja kuelezea zaidi
Mke mmoja mme mmoja ambae hamuwezi kuachana. Yaani ukute umepata mke au mume aliekubuhu anakuletea mchepuko ndani ya nyumbani wewe ubaki mke mmoja au mme mmoja? Yaani udharauliwe ndani ya ndoa wewe ubaki mme mmoja mke mmoja? Huo ndio ujinga wenyewe basi.Mwambie dini yetu ni mke mmoja , mme mmoja na ndio vizuri sisi sio wajinga sasa wao wanawajaza mwisho karaha bhana .
Heshima nikitu cha bure
Kuwa na akili timamu bas inamaana ujaliona hapo?Aya nyiingi,ila sijaona hiyo inayoelezea mke ni m1 tu!
Mfano sisi ktk Qur'an. Allah kasema oweni ktk wanawake mnao wapenda kuanzia wawili watatu au wanne tu! Namkihofia kuwafanyia ihsan basi oweni mmoja.
Sasa wewe unaleta maandiko meengi ila hakuna hata moja linalosema oweni mke m1.
Usichokielewa wewe na wezako wengi,nikufahamu vizuri maandiko. nakusaidia ktk maandiko kuna simulizi za mitume waliopita na kuna simulizi za wakati huu wa mtume huska na kitabu alafu kuna sheria na makatazo,
Wewe unaleta simulizi za adam sijui musa. Kama wewe unamfuata adam ktk ndoa basi oa dada yako wakuzaliwa nae maana adam aliozesha watoto wake kaka na dada
Acha kuwaita "vimada" wakati dini inaruhusu, pambafu zako,Sio waolewe kwenye nyumba ya mwenzao. Tafuta nyumba,oa mke mweke,kwake sio umbuguthi mke mkubwa, na vimada vyako.
Hao ni vimadaAcha kuwaita "vimada" wakati dini inaruhusu, pambafu zako,