Mume wa rafiki yangu anatarajia kuoa mke wa tatu wiki ijayo, rafiki yangu hana raha na ndoa yake

Mimi ni mkristo napenda kuwa na wanawake zaidi ya mmoja na sioni kuwa dini ndio inanikwamisha

But shida ni pesa ndio sina tu
 
Kaolewa mwaka pili kaletewa mke mwenza mwaka wa tatu sasa. Tupe na vitafunio kabisa
 
Ahaa
 
Mwambie dini yetu ni mke mmoja , mme mmoja na ndio vizuri sisi sio wajinga sasa wao wanawajaza mwisho karaha bhana .
Heshima nikitu cha bure
Anhaa! Sawa sasa nimeshakuelewa, ujue nilikuwa napata taabu kuelewa ulichokiandika! Hatahivyo nasikitika kwakuwa nimeshakupuuza na uzi wako
 
Soma apo chini utaelewa ulichoandika kuliko mihemko yako na umri wako mdogo.
 
Mkuu mbona bandiko lako umeandika kwa haraka sasa yupo kwa mumewe huu mwaka wa pili au 3.Naunahakika huko ulipo upo peke yako.
 
Hakuna wanawake wapo desperate kama wanawake wakristo kwenye kuolewa!! Let me tell you my sister you so stupid! And all guys mnaobadili dini sababu ya mapenzi! Mkiachwa mnarudi kulialia! Love its self it’s not have guarantee Kwanini mnafanya huo ujinga!? Ukibadilishwa dini umeishajitolea dignity yako! Trust me! Uwezekano wa kunyanyasika ni 86% mie sister wangu aliolewa na jinga moja akaja eti ohh nataka nibadiki dini nikamwambia sitakuja kwako hata kwa bahati mbaya ukikaa hivo hivo kuna shida gani kwanza kidume chenyewe amekizidi kila kitu! Baada ya miaka miwili tu alikuja kunishukuru! Baada ya kuiona rangi halisi!
 
Aya nyiingi,ila sijaona hiyo inayoelezea mke ni m1 tu!

Mfano sisi ktk Qur'an. Allah kasema oweni ktk wanawake mnao wapenda kuanzia wawili watatu au wanne tu! Namkihofia kuwafanyia ihsan basi oweni mmoja.

Sasa wewe unaleta maandiko meengi ila hakuna hata moja linalosema oweni mke m1.

Usichokielewa wewe na wezako wengi,nikufahamu vizuri maandiko. nakusaidia ktk maandiko kuna simulizi za mitume waliopita na kuna simulizi za wakati huu wa mtume huska na kitabu alafu kuna sheria na makatazo,

Wewe unaleta simulizi za adam sijui musa. Kama wewe unamfuata adam ktk ndoa basi oa dada yako wakuzaliwa nae maana adam aliozesha watoto wake kaka na dada
 
Tunawalaga sisi hskuna mtu wa kuweza kueahudumia wanawake 4 siku zote mapenzi hupelekwa kwa mpya hao wazamani wanatuhonga weenyewe
 
Mwambie dini yetu ni mke mmoja , mme mmoja na ndio vizuri sisi sio wajinga sasa wao wanawajaza mwisho karaha bhana .
Heshima nikitu cha bure
Mke mmoja mme mmoja ambae hamuwezi kuachana. Yaani ukute umepata mke au mume aliekubuhu anakuletea mchepuko ndani ya nyumbani wewe ubaki mke mmoja au mme mmoja? Yaani udharauliwe ndani ya ndoa wewe ubaki mme mmoja mke mmoja? Huo ndio ujinga wenyewe basi.

Ndoa ni Heshima. huyo mumemo anapoongeza mke basi kafanya kwa heshima. Sasa kama wewe unaona heshima kuwa na michepuko, sina shaka heshima huna.
 
Kuwa na akili timamu bas inamaana ujaliona hapo?

1 Wakorintho 7:1-3
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
² Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
³ Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.

Hapo unaona kuna sehem wamesema kila mwanaume na awe na wake zake mwenyewe? Mbona nimekuwekea mifano mingi zaidi ila ujaelewa tu?ebu soma taratibu huku ukiwa na free mind utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…