Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanaowajaza na wao ni dini yao!!!Mwambie dini yetu ni mke mmoja , mme mmoja na ndio vizuri sisi sio wajinga sasa wao wanawajaza mwisho karaha bhana .
Heshima nikitu cha bure
Kwa hiyo upo tayari kuishi na mke mwenzio ndani kha!Kwahy uko tayar mumeo aendelee kuchepuka?Akioa basi hiyo ndo heshima yenyewe sasa
HaswaaaOlewa huko huko uliko upate raha.
Sibadili diniTuachane Na Hayo, Kwahiyo Vipi dini Utabadili Au Hutabadili? 😡😡
Kama nilivyomweleza mdau hapo juu kwamba asichanganye kati ya Ukristo na Wakristo; na ndivyo hivyo usichanganye kati ya Uislamu na Waislamu!!Hujanielewa kwanini mnaoa leo kesho talaka halafu mnajaza wanawake nyumba moja??
hapo kabla, nilidhani you'd clear conscious ya kutaka kuelimishwa kama ambavyo ulidai lakini kwa kuangalia post yako hii:-Iman za watu ukiziingilia utaonekana unawapinga.
nadhani lengo lako ni tofauti kabisa, na kwa bahati mbaya sana, huwa sina interest ya kufanya malumbano ya kiimani, and that being said KWAHERI, and stay blessed!!!Mwambie dini yetu ni mke mmoja , mme mmoja na ndio vizuri sisi sio wajinga sasa wao wanawajaza mwisho karaha bhana .
Heshima nikitu cha bure
Juu ya hilo muhusika anajua?Sibadili dini
Inamaana bado hunaolewa etiWajameni kati ya kitu ninachoogopa ni kubadili dini niwe muislamu.
Na ndoa yao imefunguliwa.
Ipo kirahisi sana .
Unaolewa leo kwa gharama kubwa akimaliza haja zake anakupa talaka tatu.
Hapo mashosti wanakucheka umeachwa unashangaa.
Juzi nilienda kwa shosti yangu kaolewa huu ni mwaka wapili mie nikazani anaraha .
Kumbe nikaraha huyo mwanamme alimsilimisha akawa muislamu .
Halafu akapata watoto naye .
Baada yakupata watoto wakike hao ni mapacha.
Akanza vitimbi akaoa bila ya ridhaa yake.
Akamleta mke wa pili sasa wapo wawili .
Huu ni mwaka watatu yupo humo ndani kwenye chumba chake.
Sasa huyu baba anaoa tena wiki ijayo na atamleta mke ndani.
Hivi shida huwa nini?
Niambieni jamani?
Akaanza vitimbi
Hujanielewa kwanini mnaoa leo kesho talaka halafu mnajaza wanawake nyumba moja??
Nikikutana na comment yako huwa natoa like kwanza kisha nasoma.Kama ni vitimbi kwenye ndoa... hakuna cha ndoa ya Kiislamu, Kikristo wala Kiyunani!! Sasa mambo yakiwa kitimtim namna hiyo si bura kila mtu ashike hamsini zake kuliko mnaishi nyumba moja wakati hakuna amani?!!
Anyway, hizo taraka zinatolewa ndivyo sivyo lakini msingi wake, ni kuepusha shari baina ya wanandoa, isjie mkafikia hadi kuuana au kudhuriana! Na hadithi inasema wazi kwamba "...talaka ni ruhusa inayochukiza"!
Ni kutokana na hilo, ndo maana mafundisho yanasema, mwanaume ukiona ndoa haivumiliki, basi toa taraka moja; na kama nyumba ni kubwa basi gawaneni upande labda hadi kwisha eda, suluhu kati yenu itakuwa imeshapatikana!!!!
Na lau kama nyumba ni ndogo, basi mwanaume toa taraka kisha mwache ex wako kwenye hiyo nyumba, huenda baada ya muda akili zitakurudia na kuamua kumrejea mke wako!!
Tukianza na swala la taraka kwa mkiristu ina ruhusiwa sema labda kama umefungwa na mafundisho ya dhehebu lako. Vigezo na masharti kuzingatiwaMimi ni mkristo ila katika suala naliunga mkono ni kuoa wake wanne,ina maana yake aisee..suala la talaka naliunga mkono pia..hivi imagine kuna watu wamefunga ndoa za kikristo lakini wana ugomvi usiokoma,mke na mme wanalala vyumba viwili tofauti kwa zaidi ya miaka miwili..hakuna tendo la ndoa wala maelewano tena..wanaishi kwa kuviziana sasa si bora kupeana talaka?
Hapa umeongea kibinafsi zaidi vip mkeo nae akisema umruhusu aolewe na mwanaume zaid ya mmoja ili utakapo kuwa kwa mke mwenza nae apate wa kumtiliza midadi zake? Kwenye ndoa kunahitaji uvumilivu sio ubinafsi.Pia suala la kuoa wake wanne nalo lina umuhimu wake,wanaume tumependelewa sana imagine hatuingii P kama wanawake,hatubebi mimba,hatuzai kama wenzetu..sasa ukiwa na mke mmoja kipindi anapitia hayo unafanyaje?mtu akijifungua unashauriwa uache angalau miezi 6,je katika hali ya kawaida inawezekana kweli kwa mtu aliyezoea kufanya mara kwa mara?si ndo chanzo cha usaliti!!ni bora ukiwa na wake wanne unahamia tu..huyu akiwa P unaenda kwa mwingine..huyu akijifungua unahamishia majeshi sehemu nyingine..
Hapa unaponda ndoa za kiislamu au unamponda mine wa rafiki yako anataka aoe mwanamke mwingine?
Au unataka kujua taratibu za ndoa za kiislamu zipoje,binafsi sijakuelewa,maana umeandika kwa jazba Sana.
Kwa lugha nyepesi, eda ni muda wa matazimio... it's like grace period ambayo mwanamke anatakiwa kukaa pindi anapoachika au anapofiwa na mumewe!!Nikikutana na comment yako huwa natoa like kwanza kisha nasoma.
Eda ndio nini, huwa naisikia. Huo utaratibu wa taraka ndio nimeuona hapa ingawa mimi sio Mwislamu lakini sijawahi ona unafuatwa.
Hebu lete ilo andiko linalosema mke ni mmoja tu ktk bibliaMwambie dini yetu ni mke mmoja , mme mmoja na ndio vizuri sisi sio wajinga sasa wao wanawajaza mwisho karaha bhana .
Heshima nikitu cha bure
WANAKUJA WAPI? NANI HAO?Wanakuja wengi tatizoo
Msituingize chaka hakuna mwanaume ambaye yuko mwenyewe tu anashangaa shangaa lazima uwe na kipoozeo msituchore .😎😎Mimi ni mkristo ila katika suala naliunga mkono ni kuoa wake wanne,ina maana yake aisee..suala la talaka naliunga mkono pia..hivi imagine kuna watu wamefunga ndoa za kikristo lakini wana ugomvi usiokoma,mke na mme wanalala vyumba viwili tofauti kwa zaidi ya miaka miwili..hakuna tendo la ndoa wala maelewano tena..wanaishi kwa kuviziana sasa si bora kupeana talaka?...