Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
don't take it personal I was just joking.naelewa sana thamani ya mwanamke.Mama Samia Big Up kimbizaaaKuwa na heshima basi mbona unadhalilisha wazazi hata kama hawajakuzaa, wape heshima nawewe pia na mama na Baba pia.
Uwe unapunguza ukali wa maneno yaani unajua mwanamke akidhalilishwa hujisikia vibaya sana, na kusahau ni ngumu, tunarekebishana tu, vipi upo msibani kwa sasa?don't take it personal I was just joking.naelewa sana thamani ya mwanamke.Mama Samia Big Up kimbizaaa
msiba au sherehe?? bora tuongozweUwe unapunguza ukali wa maneno yaani unajua mwanamke akidhalilishwa hujisikia vibaya sana, na kusahau ni ngumu, tunarekebishana tu, vipi upo msibani kwa sasa?
Katiba iko wazi kiongozi, angekuwa anamalizia miaka aliyeocha Hayati Magufuli chini ya miaka mitatu ruksa kugombea mara mbili.Kwakifupi mam samia atakuepo mjengoni for 14 years kama rais.
Anamalizia hii mi 4 ya magu.
Anagombea mi 5 yake ya kwanza
Anagombea mi 5 yake ya pili
Tulikuwa tunajadili ya maneno makali uliotoa hapo juu, si msiba machungu yakufiwa nayajua mkuu hivyo mie sipo hukomsiba au sherehe?? bora tuongozwe
na samia kuliko lile shetani
hapana kama atagombea atashinda basi ni awamu moja iyo ingewezekana kama labda angekuwa ameachiwa miaka 3 au chini ya hapo basi angekuwa na ruhusa ya kugombea awamu mbiliKwakifupi mam samia atakuepo mjengoni for 14 years kama rais.
Anamalizia hii mi 4 ya magu.
Anagombea mi 5 yake ya kwanza
Anagombea mi 5 yake ya pili
Ahsante kunijulishahapana kama atagombea atashinda basi ni awamu moja iyo ingewezekana kama labda angekuwa ameachiwa miaka 3 au chini ya hapo basi angekuwa na ruhusa ya kugombea awamu mbili
Nimeksoma chief.Sikuyajua haya mkuuKatiba iko wazi kiongozi, angekuwa anamalizia miaka aliyeocha Hayati Magufuli chini ya miaka mitatu ruksa kugombea mara mbili.
Ila anakwenda kumalizia miaka minne na nusu ya awamu ya tano. Hivyo anaruhusiwa kugombea mara moja tu. Labda wabadili katiba na kuondoa ukomo wa urais.
Nimekupata sasaHakuna atagombea mara 1tu + hii =9
Ahsante kwa ufafanuzi.Katiba ninayo ila kuisoma sijawah maliza hata page 3😂😂 poor meHapana, atakaa miaka tisa, siyo kumi na nne. Hii awamu imebakiza miaka minne na miezi minane. Kwa hiyo kulingana na Katiba, awamu hii itahesabika kuwa ni awamu yake ya kwanza, halafu itafuata nyingine ya pili ya miaka mitano.
Kulingana na Katiba yetu, kama awamu hii ingekuwa imebakiza miaka isiyozidi mitatu, isingehesabika kama awamu yake ya kwanza. Katika hali hii, awamu yake ya kwanza ingehesabika kuanzia mwaka 2025. Hii ni sahihi tu iwapo kama sikumsikia vibaya Jaji Warioba jana kwenye TV
Pamoja sana mkubwaNimeksoma chief.Sikuyajua haya mkuu
kumbuka baba watu siyo vyuma wana badirikaHawa wameoana 1978 sijui kama ulikuwa umezaliwa, hapo mama alikuwa na 18yrs mpaka sahizi miaka mingapi wanajuana tabia, goti atapiwa tu akiwa nyumbani ni mama na mke wa mtu![emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Majukumu yake yatakua kumliwaza madame ili aweze kuongoza vizuri.
Ni uncle shamte aliechangamka
Dah! easy tu.. maisha bwana
Wote poleni kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mtu aliyeipenda nchi yetu kwa dhati kabisa Mh. Rais John Magufuli.
Kufuatia msiba huu mzito nchi yetu inaenda kupata Rais Mwanamama Mh. Samia Hassan Suluhu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu na vivyo hivyo nchi itapata First Gentleman ambaye ni Hafidh Ameir. Huko nyuma tulizoea kuwa na First ladies lakini sasa mambo yanaenda kubadilika.
Je, kuna yeyote mwenye wasifu wa Mh. Hafidh Ameir ambaye ni First gentleman wetu mpya. Nimeshindwa kupata wala picha au video yake.
Pia soma
- Mama Samia: Pamoja na kuwa makamu wa Rais, napiga goti kwa mume wangu
- Raia Tanzania: Mume wa Makamu wa Rais ni nani? Wa watangulizi wake wanajulikana
Inaonekana walikuwa kwenye mambo yao ya kifamiliaHapo kulikuwa na sherehe gani?
Umerogwa weweMheshimiwa rais Mama Samia Suluhu nakuomba usizingue, cheza mule mule kwa Magufuli