Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

Yaani mpaka unamaliza ujenzi wa nyumba zako ushakandwa na wanaume wasiopungua kumi. Maendeleo ya wanawake wengi yana uzinzi na uasherati mwingi
 
Hawa jamaa wa ajenda ovu[emoji3525]
 
Hii thread ukiisoma mpaka mwisho utagundua mwandishi ni mmoja na zile nyingine zilizotangulia, lengo hasa sijajua ni kutuliza hasira za mwanamme pindi akifumania au lengo ni kuongeza chuki ya jamii kwa mwanamke.
Lakini hakika yake lengo ni ovu.
Hakika mkuu,
Naona Kama Ni trend flan inaendelea ya kataa ndoa humu jf na hizi new IDs [emoji848]
 
Sio bure,
Kuna Watu wako Kenny kampeni maalum ya kuwachafua wanawake na kuharibu tasnia ya ndoa. Hao wapuuzi wapuuzwe.
 
Mpambanaji wakati wanajenga michepuko..[emoji1787]
Nafikiri neno mpambanaji Lina tofauti kati ya wanaume tunavyolitafsiri na wanawake wanavyolitafsiri
Atakua anamaanisha mpambanaji kitandani kusaka ujira[emoji4]
 
Kuacha nitaacha nasubiri nikifike hatua flani hivi
Kwa sasa nishaezeka , na plasta tayari na magrili.
Nipo na huyu jamaa.
Nikimaliza wiring, rangi, tales, na umeme. Na baadhi ya vitu naachana ne. Mwishoni mwa mwaka huu nitafika tuu.
Unaachana na Mumeo Ili uwe huru kudanga sio?
 
Yaani mpaka unamaliza ujenzi wa nyumba zako ushakandwa na wanaume wasiopungua kumi. Maendeleo ya wanawake wengi yana uzinzi na uasherati mwingi
Yashanikuta kwa fundi cherehani
Namsifia Ni mpambanaji kumbe Ni kahaba anajiuza, Tena anatumia Hadi madalali[emoji26]
 
Msipende kuhalalisha dhambi kupitia dhambi,haya maisha relax kwani nani anajua yupi atatangulia.
Mtoto wa nje anaweza akawa na akili kuliko hata watoto wa ndani na akaja kuokoa na kuisimamia familia familia,mifano ni mingi.
Unasema kweli kabisa Baba yangu wa kambo alifariki Mimi na brother mmoja ambao wote ni watoto wa kambo ndio tumefanikisha maziko yake huku watoto wake wa kuzaa 15 wakiwa wapo kama sanamu.

Kweli wahenga walisema Duniani tambala bovu,atakayekuzika humjui.
 
Comment Bora kabisa hii[emoji4][emoji106]
 
Siku mumeo akijua umejenga kisiri siri anataguta wahuni wanakwenda wanatia nyumba petrol kisha anakuacha hapo ndio utajua raha ya mapenzi.
Na duaniani hakuna siri IPO siku atajua tu.
 
0 brain, sasa watoto wako ukiwajengea kwengine ndiyo unawatoa kutokuwa watoto wa baba yao? Serikali ipime akili za raia wake.
Huyu mama anatengeneza chuki na ubaguzi kwa watoto
 
Dah sijui hata Kwa Nini sijakuonea huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una roho ya uchungu na mbaya sana usije mroga mtoto wa mwanamke mwenzio.
Unajisifu uzuri na mvuto huku ndani yako una roho nyeusi.
Ana roho mbaya san huyu binti,
Jamaa amtoe huyo Mtoto wa kiume pale nyumban haraka sana
 
Mie kuna issue niliifanys kwa siri sana nikiamini wife au ndugu yangu hata kuja kufahamu kamwe nilishangaa sana siku mmoja ananiambia kuna mwezi ulifanya a,b,c asee nilishitka sana.
Ndipo niliamini siri ni ya wewe pekee tu Duniani,ikisha husisha zaidi ya wewenna mwingine hakuna siri tena.
 

Hapo ndo ke wengi wanafeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…