Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Ni certified kahaba[emoji4]Anatafuta uhalali wa kuendelea kukazwa.
Ficha ujinga mtoa mada[emoji4]Ninaona bovu zenu hapa, huwa mnaumia sana wake wenu tukitoka nje lakini nyie unakula tuu nje huko.
Leteni maneno yenu hayo.
Hawa jamaa wa ajenda ovu[emoji3525]Uzi mwingine uliotungwa na KATAA NDOA kwa maslahi yao. Propaganda za usaliti zimekuwa nyingi. Kila uchwao uzi wa usaliti hutungwa.
Tena na NEW ID. Joined Today, made a thread today. It is all about marriage conflicts.
Huu ni upuuzi. Uzi utatembea na kusomwa na wengi. Vijana watajikatia tamaa ya kuoa.
Hakika mkuu,Hii thread ukiisoma mpaka mwisho utagundua mwandishi ni mmoja na zile nyingine zilizotangulia, lengo hasa sijajua ni kutuliza hasira za mwanamme pindi akifumania au lengo ni kuongeza chuki ya jamii kwa mwanamke.
Lakini hakika yake lengo ni ovu.
Sio bure,Hivi kuna mtu kaona namna uandishi wa hawa wanaojiita wanawake wanaosaliti waume zao unafanana sana, hadi makosa ya kiuandishi..??
Hii thread ni ya 3 kitu ni kile kile, hivyo wake za watu wote mnaochepuka mnajikuta wote hamjui kuandika Kiswahili sanifu siyo..??
Hongereni attention seekers..!!
Atakua anamaanisha mpambanaji kitandani kusaka ujira[emoji4]Mpambanaji wakati wanajenga michepuko..[emoji1787]
Nafikiri neno mpambanaji Lina tofauti kati ya wanaume tunavyolitafsiri na wanawake wanavyolitafsiri
Unaachana na Mumeo Ili uwe huru kudanga sio?Kuacha nitaacha nasubiri nikifike hatua flani hivi
Kwa sasa nishaezeka , na plasta tayari na magrili.
Nipo na huyu jamaa.
Nikimaliza wiring, rangi, tales, na umeme. Na baadhi ya vitu naachana ne. Mwishoni mwa mwaka huu nitafika tuu.
Yashanikuta kwa fundi cherehaniYaani mpaka unamaliza ujenzi wa nyumba zako ushakandwa na wanaume wasiopungua kumi. Maendeleo ya wanawake wengi yana uzinzi na uasherati mwingi
Unasema kweli kabisa Baba yangu wa kambo alifariki Mimi na brother mmoja ambao wote ni watoto wa kambo ndio tumefanikisha maziko yake huku watoto wake wa kuzaa 15 wakiwa wapo kama sanamu.Msipende kuhalalisha dhambi kupitia dhambi,haya maisha relax kwani nani anajua yupi atatangulia.
Mtoto wa nje anaweza akawa na akili kuliko hata watoto wa ndani na akaja kuokoa na kuisimamia familia familia,mifano ni mingi.
Hawa watu wanacheza na akili zetu[emoji3525]Id moja na zile
Hawa jamaa wahuni Sana yaan[emoji3525]Aaaah kmmmke wallahiiii tumewastulia hizi thread zenu
Zimekaa kimikakakti sana
Comment Bora kabisa hii[emoji4][emoji106]Nimesoma comments bila kusoma utopolo wa huyo dada. Na kuona jinsi mnavyo hangaika kubishana naye.
Kiufupi hamtakiwi kubishana naye. Mwache afanye anachojisikia.... maana maisha yake hayawahusu kwa namna yoyote ile, afya yake haiwahusu wala tamaa zake Za kimwili haziwahusu.
Kila mtu anapambana na hali yake hapa duniani..
Dhambi nayo ukiizoea sana unakuwa kama unaitakasa na Kuwa dhabihu ndani yako.
Kila siku utahitaji kuifanya zaidi ya jana.
Kajaribuni kuwaelewesha na kuwasaidia watu kwenye nyuzi nyingine wanaoomba msaada wa kimawazo.
Huyu haitaji msaada, tayar anashida kichwani.
Ni hayo tu.
Huyu mama anatengeneza chuki na ubaguzi kwa watoto0 brain, sasa watoto wako ukiwajengea kwengine ndiyo unawatoa kutokuwa watoto wa baba yao? Serikali ipime akili za raia wake.
Ana roho mbaya san huyu binti,Dah sijui hata Kwa Nini sijakuonea huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una roho ya uchungu na mbaya sana usije mroga mtoto wa mwanamke mwenzio.
Unajisifu uzuri na mvuto huku ndani yako una roho nyeusi.
Mapenzi yenyewe na hao michepuko umefosi wewe?’!
No chemistry at all. No intimacy.
Unafanya kutumika tu jamani!
Kwani hukuwahi kuwa na Mwanaume mnaependana kwa dhati kabla kiasi ambacho mngeweza kuoana?!
Au yuko mbali? Anyway umeamua mwenyewe hivyo.
Mimi naona si sawa kulalwa na Mwanaume yeyote kwa kuzani unamkomoa mumeo.
Wateja mmeitikia tangazo kabisa[emoji4]Mkuu wiring na grill ntafanya Mimi anunue vifaa tu