Ntake radhi binamu[emoji4]Wanachosha kila mtu anatoa post za kusaliti wanaume zao wandoa mwaka Jana ilikuwa wanaume wakina DeepPond Sasa ni wanawake eh Dunia imeshasimamaga na wengi tumeshukaga tu maana hii inachosha kama ushoga ilitrend hadi tuliitwaga wanaume humu wamechoka saivi ndio hii mipost Bora hata manjenga ili mkishindwana mnaenda kujisitiri huko.
Nakazia[emoji4]Hahahaha Wanawake wanaojionaga wazuri hahaha wanakuaga Wajinga sana kwakweli !!
Wengi wa Wanawake wazuri hawaolewi, wakiolewa ,ujue mwanaume ana Moyo wa uvumilivu sana.
Simnaona Kila Aya anasema "Coz najiamin mie mzuri "[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unajua Vijana wengi wanapoteza dira za Maisha kwa ajili ya mama za kambo wenye roho za namna hii,Mara nyingi wanafanya ulozi kuharibu future za watoto,kusa tu hii habari ya kusema atarithi maliAna roho mbaya san huyu binti,
Jamaa amtoe huyo Mtoto wa kiume pale nyumban haraka sana
Eeeh kumekucha binamu🤣🤣🤣Ntake radhi binamu[emoji4]
Huyu anajiuza kabisaWewe hukuchepuka kwa sababu ya maumivu ya mumeo kuzaa njee.
In short,unachepuka ili kutimiza malengo/maslahi yako,kwa maneno mengine wewe ni changudoa uliyekaa kikisasa zaidi.
Dah![emoji848]'Mi mzuri najiamini...'
'Ni kawaida yangu kuchepuka...'[emoji3]
Wacha kabisa [emoji4]Eeeh kumekucha binamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mama alikofikia kwa Hii chuki hakawii kumpa sumu uyo Mtoto wa kiumeHivi unajua Vijana wengi wanapoteza dira za Maisha kwa ajili ya mama za kambo wenye roho za namna hii,Mara nyingi wanafanya ulozi kuharibu future za watoto,kusa tu hii habari ya kusema atarithi mali
aisee na wwe mkuu ulikuwa kwenye foleni ya kumchangia mpambanaji kwa kivuli cha ukahabaYashanikuta kwa fundi cherehani
Namsifia Ni mpambanaji kumbe Ni kahaba anajiuza, Tena anatumia Hadi madalali[emoji26]
Nilitoa Hadi vifaa vya wayaringi ya umeme nyumba aliyokua anajenga, keshahamia anaishi kabisaaisee na wwe mkuu ulikuwa kwenye foleni ya kumchangia mpambanaji kwa kivuli cha ukahaba
Umeamua umshaui kutokana na ujinga wake[emoji4]Nakupongeza kwa kujua kitafuta furaha yako, hiz nyeti zipo tu. Uamuz wako kuzitumia kwa raha zako ili mradi zikuletee faida
Duuh noma sana mkuu wanawake wapambanaji kaa nao mbali wapo tayari kwa lolote hatariii sanaNilitoa Hadi vifaa vya wayaringi ya umeme nyumba aliyokua anajenga, keshahamia anaishi kabisa
Wee acha TU,Duuh noma sana mkuu wanawake wapambanaji kaa nao mbali wapo tayari kwa lolote hatariii sana
Thats true men decision. CongratsWee acha TU,
Nilivogundua anajiuza akaomba nimsamehe, aisee Moyo umekua mzito Sana.Nmempotezea Moja kwa Moja.
Huyu ni mdangaji kama umesoma uzi wake vizuri yuko kimaslai kwa hao wanaume.We ni mwanamke mpambanaji, hongera sana na pole
Ila kwani umechepuka?
Ndoa ni mapambano pia, ulipaswa upambane, ila wewe uliwaza Mali tuu...
Kuchukuliwa na mtoto ...
Huyo mtoto ni jaribu na ni baraka ungemlea na kumpenda tuu
Kukata uno mpaka mtu anajengewa si kazi ndogo. usikute anatoa na ndogoMpambanaji wakati wanajenga michepuko..🤣
Nafikiri neno mpambanaji Lina tofauti kati ya wanaume tunavyolitafsiri na wanawake wanavyolitafsiri
Imagine hawa mabinti nao watakuja kuwa wake za watu. hivi mama mpuuzi kama huyo ndio anakuwa mama mkwe wako unategemea mabinti watakuwa je?Saafi,pambania binti zako