DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Ntake radhi binamu[emoji4]Wanachosha kila mtu anatoa post za kusaliti wanaume zao wandoa mwaka Jana ilikuwa wanaume wakina DeepPond Sasa ni wanawake eh Dunia imeshasimamaga na wengi tumeshukaga tu maana hii inachosha kama ushoga ilitrend hadi tuliitwaga wanaume humu wamechoka saivi ndio hii mipost Bora hata manjenga ili mkishindwana mnaenda kujisitiri huko.