Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

We ni mwanamke mpambanaji, hongera sana na pole

Ila kwani umechepuka?

Ndoa ni mapambano pia, ulipaswa upambane, ila wewe uliwaza Mali tuu...
Kuchukuliwa na mtoto ...

Huyo mtoto ni jaribu na ni baraka ungemlea na kumpenda tuu
Upambanaji wa kuuza uchi!
 
Atakayeumia ni mumeo, na wanao endapo watajua.

Sasa sisi huku JF tuumizwe kwa lipi? [emoji2369]
Labda anazani tunamjua mume wake tutampelekea mastori ya Town tukiwa tuna gonga Vyombo na Mkuu wetu mpya wa Mkoa DSM!!
 
Hope now maumivu ya roho yako yameisha na kama ni kisasi ushalipa now nakushauri utulie tu maana za mwiz arobain na kwa nature ya watu wenye hiyo tabia ya last say hakyamungu utakuja kusababisha mauaji...
,NIPO PALEEE.
 

Usaliti haulipwi kwa usaliti, kwanini usimwombe taraka tena mapema akiwa hajui mali ulizonazo, ukiwa nje utaenjoy utavyoweza ila jua siku akijua unamali nje atazipata tuu, si wanaume tunaakili nyingi, atakuzidi akili tuu na utakuja kupata anguko saivi anakufanyia hayo yote sababu anajua huna pakushika, all in all maisha mema kwenye ndoa yako tusije kusikia kwenye vyombo vya habari mtu kaua mke wake kisa wivu wa mapenzi.
 
Dah sijui hata Kwa Nini sijakuonea huruma😂😂😂😂😂😂
Una roho ya uchungu na mbaya sana usije mroga mtoto wa mwanamke mwenzio.
Unajisifu uzuri na mvuto huku ndani yako una roho nyeusi.
 
0 brain, sasa watoto wako ukiwajengea kwengine ndiyo unawatoa kutokuwa watoto wa baba yao? Serikali ipime akili za raia wake.
 
Sema jitahidi watoto wote wapendane kama ndugu. No Bora kuliko hizo nyumba
 
Nimesoma comments bila kusoma utopolo wa huyo dada. Na kuona jinsi mnavyo hangaika kubishana naye.

Kiufupi hamtakiwi kubishana naye. Mwache afanye anachojisikia.... maana maisha yake hayawahusu kwa namna yoyote ile, afya yake haiwahusu wala tamaa zake Za kimwili haziwahusu.

Kila mtu anapambana na hali yake hapa duniani..

Dhambi nayo ukiizoea sana unakuwa kama unaitakasa na Kuwa dhabihu ndani yako.
Kila siku utahitaji kuifanya zaidi ya jana.

Kajaribuni kuwaelewesha na kuwasaidia watu kwenye nyuzi nyingine wanaoomba msaada wa kimawazo.

Huyu haitaji msaada, tayar anashida kichwani.

Ni hayo tu.
 
unajaribu kujustify tabia yako kwa kisingizio kuwa mumeo alizaa nje ya ndoa, huenda mumeo akiwapima dna hao mabinti zenu akakuta si wake.
 
Aaaah kmmmke wallahiiii tumewastulia hizi thread zenu
Zimekaa kimikakakti sana
 
Kuacha nitaacha nasubiri nikifike hatua flani hivi
Kwa sasa nishaezeka , na plasta tayari na magrili.
Nipo na huyu jamaa.
Nikimaliza wiring, rangi, tales, na umeme. Na baadhi ya vitu naachana ne. Mwishoni mwa mwaka huu nitafika tuu.
Kwamba mwanaune agharamie hivyo vyote halafu uje umuache from no where unatafutwa kuchomwa visu wewe sio bure.
 
Yaani ili ngoma iwe sawa we fanya tu ivi zaaa na huo mchepuko wako ila maumivu yabalance kote ila jamaa kiuhalisia alishapiga hesabu zake kitambo tu, anajua mtoto wa kiume ndo anaweza kuendeleza kizazi chake yaani yeye ataoa na kuendeleza familia ila watoto wa kike wataolewa waende Sasa kila mtu ashinde mechi zake hapo
 
Wewe endelea kukitembeza, ikiwezekana toa mpaka kwa mpalange, ila end of the day utafurahi mwenyewe na utakuja kuelewa kumbe mwanaume siyo mtu wa kushindana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…