Mume wangu anaumwa!

Katupiwa jini huyo nitafute
 
Stress ya kuwa na mipango ya maisha na kukosa fedha ya kuimpliment inaletaga matatizo makubwa sana.

Niliugua, usiku homa ikapanda sana natetemeka kwa baridi kali, nikaenda hospital wakaniambia sukari iko juu 17. na presha iko juu sana 180 wakanirefee, kwenda hospital kubwa wakanipima damu, presha na moyo echo, ecg yule doctor akaulizia history yangu, sijawahi ugu hayo magonjwa, hakunipa dawa ila walinihoji kazi ninazofanya, huwezi amini baada ya 2 hrs ile hali ikaanza kutulia na presha ikawa normal na sukari, mpaka hapo laki 7 imeshaisha vipimo tu..

Hivyo tambua stress zinakusababishia mtu unaumwa kabisa hata unaweza kufariki..
kwa sie wachaga kukosa hela ni ugonjwa mbaya sana usisikie.
 
Anakulaga cku moja moja

Yawezekana ndio style yake ya kukwepa hiyo kitu...

Otherwise, kama imeshindikana hospital basi tafuteni njia mbadala, kama ni mwana-dini fuata taratibu za dini yako za kutafuta chanzo cha tatizo hilo na kulimaliza.

Ila pole sana na hongera maana bila shaka una upendo wa dhati kwake.Mungu awabariki.
 
Dada yangu usiwe na hofu huu ni UKIMWI,watu wengi sana siku hizi wanaumwa ila ukipimwa huwezi kuona kitu nadhani kuna tatizo kwenye vipimo vyetu au virusi hawa ni wapya hawajajulikana,subiri kidogo tu na wewe utaanza kuumwaumwa mwishowe wote mtafariki,nawashauri msizae watoto this tym coz na wao wataumwaumwa watafariki,mi najiuliza sana huu ni UKIMWI gani hauonekani ni wengi wako hivyo,pole sana.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
we naweee....!!!
 

Uchungu wa mate ni dalili kama malaria. Hebu mwambie wacheki malaria vizuri, maana inasemekana sometime malaria inajificha sana. Niliwahi sikia Dar Group ni pazuri kwa upimaji wa malaria.
 
Uchungu wa mate ni dalili kama malaria. Hebu mwambie wacheki malaria vizuri, maana inasemekana sometime malaria inajificha sana. Niliwahi sikia Dar Group ni pazuri kwa upimaji wa malaria.

Where is Dar group located?
 
Man are you out of your mind?
 
Habari yako...Mwambie aende hospitali na apunguze damu mwilini kwa kuwachangia wagonjwa au kuweka katika blood bank. Pia mwambie atumie matunda yanaoitwa tini..ale kokwa 7 asubuhi na 7 akitaka kulala....pia tafuta vitunguu thomu vile vidogo na awe anatafuna 7 asubuhi 7mchana na 7 usiku.....pia Mwambie awe anakunywa maji ya uvugu vugu yaliowekwa ndimu...Anza na hii kama utakua na tatizo uta ni PM....
 
Dawa 1 nimesahu chukua majani machanga ya mpapai na uchemshe awe anakunywa nusu kikombe kile kidogo sio mug!
 
Niko na dawa za kienyeji ni broad spectrum kwa matatizo ya typhoid, malaria na tumbo kuuma, kujaa gas nk anaweza jaribu wengi wamepata nafuu
 
vipi kwani huwa anakula kwanza chakula cha wakubwa au akifika kitandan ndo homa zinampanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…