Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni it techinician..madaktari wanatoa tu midawa ya ant biotics baa
Anakulaga cku moja moja
we naweee....!!!Dada yangu usiwe na hofu huu ni UKIMWI,watu wengi sana siku hizi wanaumwa ila ukipimwa huwezi kuona kitu nadhani kuna tatizo kwenye vipimo vyetu au virusi hawa ni wapya hawajajulikana,subiri kidogo tu na wewe utaanza kuumwaumwa mwishowe wote mtafariki,nawashauri msizae watoto this tym coz na wao wataumwaumwa watafariki,mi najiuliza sana huu ni UKIMWI gani hauonekani ni wengi wako hivyo,pole sana.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Habar zenu na polen majukumu! Mume ana umri wa miaka 33 sasa! Analalamika sana anaumwa kila leo, amefanya full blood picture hakuna tatizo linalomaibu, kila cku yuko hosp anahangaika! Hakukwi na tatizo lolote! Lkn mwenyewe analalamika kuumwa kila leo! Ucku anapataga homa kali mate anayaona machungu n.k! Asbh akiamka yuko mzima anasema tu mwili unamuuma! Akicheki malaria, u.t.i, typhod na magonjwa mengine hana! Sometimes anapita hosp hata 6 mpaka 7 na zote haonekani na ugonjwa wowote! Namwonea huruma na sina furaha kwaajili yake! Na tangia tuanze uhusiano kipind ndo namfaham huwa analalamika kila siku anaumwa kitu kinachonifanya nikose amani kabisaa! Nisaidien jaman anasumbuliwa na nn na afanye nn? Anakula vizur na anapenda kunywa maji mengi sana! Ana afya yake nzuri tu ukimwona! Nisaidien madr.
Uchungu wa mate ni dalili kama malaria. Hebu mwambie wacheki malaria vizuri, maana inasemekana sometime malaria inajificha sana. Niliwahi sikia Dar Group ni pazuri kwa upimaji wa malaria.
ni it techinician..madaktari wanatoa tu midawa ya ant biotics baa
Man are you out of your mind?Dada yangu usiwe na hofu huu ni UKIMWI,watu wengi sana siku hizi wanaumwa ila ukipimwa huwezi kuona kitu nadhani kuna tatizo kwenye vipimo vyetu au virusi hawa ni wapya hawajajulikana,subiri kidogo tu na wewe utaanza kuumwaumwa mwishowe wote mtafariki,nawashauri msizae watoto this tym coz na wao wataumwaumwa watafariki,mi najiuliza sana huu ni UKIMWI gani hauonekani ni wengi wako hivyo,pole sana.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums