Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Haya mje sasa
Naona kumekucha
Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole

Kisa kinaenda hivi

Mlokole: money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume

Money penny: nini mbaya mami??

Mlokole: mume hasimamishi nanii yake

Money penny: kivipi?

Mlokole: unajua Sisi kabla hamjaolewa hairuhusiwi kuzini wala kujuana sehemu zenu za siri, nikavumilia na kutii maagizo ya kanisa, lakini tulipoongea Tu yupo honey moon nikajuà mwanaume hasimamishi, sijui nafanyaje na huu NI mwezi wa 6

Money penny: umeenda kwa Mchungaji au wasimamizi WA ndoa wakasemaje?

Mlokole: wote wanasema ndoa haivunjwi kwasababu mwanaume hasimamishi kitakachovunja ndoa NI kifo Tu na Mungu wenyewe Sisi haturuhusiwi

Sasa nifanyaje??

Msaidieni binti WA watu afanyaje
Mshauri amwambie aende kwa wataalam wa afya kwa ajili ya vipimo Kisha ndipo atajua wapi aanzie
 
Hujatoa solution ya tatizo la binti.

Hata kama ni warumi au walokole, utaratibu uko wazi, kesi kama hiyo ndoa inavunjwa. Aende akamwambie mchungaji wake.

Iko hivi, kama alikuwa mzima baafae ndo akapata hiyo shida, hapo ndoa haivunjwi.

Kama hajawahi kufanya penetration, hiyo ndoa ni batili na inavunjwa.
Sawa, nitamjuza mhusika
 
Uislam mwema sana.

Kwa jambo kama hilo wala hatuumizi vichwa, mume anatowa talaka na akigoma anapewa yeye talaka (inaitwa khuluu).

Sasa kwa Wakristo ndiyo analo hilo maisha na ndiyo kinakuwa kichocheo cha mwanamke kuzini na kidume lala ndiyo kinalea watoto wa wenzake huku kinachekelea.

Poleni sana.
 
Haya mje sasa
Naona kumekucha
Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole

Kisa kinaenda hivi

Mlokole: money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume

Money penny: nini mbaya mami??

Mlokole: mume hasimamishi nanii yake

Money penny: kivipi?

Mlokole: unajua Sisi kabla hamjaolewa hairuhusiwi kuzini wala kujuana sehemu zenu za siri, nikavumilia na kutii maagizo ya kanisa, lakini tulipoongea Tu yupo honey moon nikajuà mwanaume hasimamishi, sijui nafanyaje na huu NI mwezi wa 6

Money penny: umeenda kwa Mchungaji au wasimamizi WA ndoa wakasemaje?

Mlokole: wote wanasema ndoa haivunjwi kwasababu mwanaume hasimamishi kitakachovunja ndoa NI kifo Tu na Mungu wenyewe Sisi haturuhusiwi

Sasa nifanyaje??

Msaidieni binti WA watu afanyaje
Bila kufanya dhihaka, hali hii inaweza kumpata Mtu yeyote nashauri aende hospitali akishindwa kabisa ajaribu upande wa pili( mambo ya kiroho)....hii inaweza kuwa vita ya kutenganisha ndoa yao....wapambane watatoboa....
 
Haya mje sasa
Naona kumekucha
Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole

Kisa kinaenda hivi

Mlokole: money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume

Money penny: nini mbaya mami??

Mlokole: mume hasimamishi nanii yake

Money penny: kivipi?

Mlokole: unajua Sisi kabla hamjaolewa hairuhusiwi kuzini wala kujuana sehemu zenu za siri, nikavumilia na kutii maagizo ya kanisa, lakini tulipoongea Tu yupo honey moon nikajuà mwanaume hasimamishi, sijui nafanyaje na huu NI mwezi wa 6

Money penny: umeenda kwa Mchungaji au wasimamizi WA ndoa wakasemaje?

Mlokole: wote wanasema ndoa haivunjwi kwasababu mwanaume hasimamishi kitakachovunja ndoa NI kifo Tu na Mungu wenyewe Sisi haturuhusiwi

Sasa nifanyaje??

Stori kamili: ipo YouTube channel yangu

Msaidieni binti WA watu afanyaje
Si kweli kusema ndoa ya Kikristu haiwezi kutenguliwa kwa mwanaume kutosimamisha. Ili ndoa ihesabiwe kuwa imekuwepo kuna masharti matatu:

1. Ndoa iwe kati ya mwanaume na mwanamke.

2. Awepo mfungishaji ndoa anayetambulika (one to solemnise the marriage)

3. Hiyo ndoa itimilishwe (the marriage has to be consummated). Hili linatokea kwa tendo la ndoa kufanyika baada ya ndoa kufungwa.

Kanisa Katoliki ni mojawapo ya makanisa yanayoshika sana sheria na ndoa ya Kikatoliki haiwezi kutenganishwa isipokuwa kwa kifo tu. Ikitokea Padri Mkatoliki amefungisha ndoa na ikaja kufahamika baadaye kuwa mwanaume hasimamishi (kwa mfano kwa miezi 6 kama ulivyosema), ndoa hiyo itahesabiwa kuwa batili na itafutwa by annulment, kitendo ambacho ni sawa na kusema hakujawa na ndoa kwa kuwa haikutimilishwa (was never consummated). Baada ya annulment mwanaume na huyo mwanamke wana uhuru wa kufunga ndoa nyingine kanisani na mtu mwingine kwa kuwa wanahesabiwa sawasawa na hawajawahi kuoa au kuolewa kabla.

Hiyo ndoa imesitishwa kwa annulment na siyo talaka. Hakuna cha talaka kwenye Kanisa Katoliki. Talaka inatolewa kwa watu walioaana.

Kama kutosimamisha kumetokea baada ya ndoa kuwa consummated, labda mwanaume ameugua baada ya wiki moja ya ndoa kufungwa na kabla ya kuugua alikuwa "shwari' hiyo ni ndoa halali na haiwezi kutenguliwa kamwe isipokuwa kwa kifo tu.

Sababu nyingine inayoweza kuleta annulment ni pale inapokuja kujulikana kwamba wanandoa wana undugu wa damu, kwa mfano mtu na dada yake. Inawezekana mtu baada ya kuzaliwa alikwenda kuishi mbali na baada ya miaka akaja akakutana na mwenza wakaoana kanisani bila kufahamu kuwa ni mtu na dada yake.

Wanaweza hata kuzaa watoto lakini ikija kugundulika kwamba wana undugu wa damu hiyo ndoa itasitishwa by annulment. Hakuna cha talaka hapo kwa kuwa ndoa ilikuwa batili. Ni sawa sawa na kusema hakujawa na ndoa hapo.
 
Back
Top Bottom