Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maake hapo kwa ncheke[emoji23][emoji23]
Kashafinyiwa ndani huko
Asiende kazini? Kwani unaumwa sana? Acha kudekaHapana bhana lazima aende namimi I am his wife acha kila kitu for 1 minute plz .
😂😂😂[emoji38][emoji38][emoji38]baba JJ bye bye
Mtafanyaje??Wazee wakucheza na omens apa tushajua nini chakufanya.
Acha uongo ananipenda tena,sanaAchika hakupendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amegundua mtoto uliyemzalia sio wakeAlivyokuja nyumbani kukuposa alionyesha anakuhitaji, alipokuwa anaapa kanisani alisema kwa shida na raha atakuwa na mimi sasa naumwa hii ndio shida alipaswa kuwa na mimi.
Mambo vipi Katoto kazuriAcha uongo ananipenda tena,sana
Watoto ni mapacha mpenzi nawanafanana na baba yao .Amegundua mtoto uliyemzalia sio wake
Asante nitakujulisha hana shida kabisa ilaMambo vipi Katoto kazuri
Unaendeleje mgonjwa?
Kiukweli nimesikitika sana kuachwa uende hospitali peke yako.
Katoto kazuri kanapokua kanaumwa inatakiwa kawe na mtu wa karibu wa kumuangalia na kumjulia hali mgonjwa.
Haiwezekani kwa hali uliyokua nayo eti uende mwenyewe hospitali huo sio utu kabisa,
Siku nyingine ukienda hospitali nijulishe ili nikusindikize, haiwezekani uteseke kwenye mafoleni ya hospitali peke yako haliyakua mimi nipo.
Mtu mzima anataka apelekwe hospital kama mtoto... khaaaSijui anataka apendwaje tena
Atakuwa alimzoeshaMtu mzima anataka apelekwe hospital kama mtoto... khaaa