Mume wangu kaniambia kwa kuwa nina bima niende hospitali mwenyewe

Mume wangu kaniambia kwa kuwa nina bima niende hospitali mwenyewe

Usione soo kusema una UTI sugu! Haina haja ya kuongozana!
 
Mimi nimefikiria positively! Amekuambia hivo uende hospital huenda ana ratiba nyingine tight kazini, so ukifika hospital atakupigia kuulizia umepata huduma na kama ataweza atakuja kukuchukua huko hospital!

Usimfikirie vibaya siku hazifanani na majukumu yanaongezeka, kabla hamjapata watoto hamkua na majukumu sahivi akifikiria kuhusu watoto anaona bora apige kazi tu for the family 🤔
 
Si bora hata umepewa hela na bima unayo upewe nini tena mama?

Mambo mengine ni kunyamaza tu utaonekana mlalamishi tabia wasiyopenda wanaume
 
Acha uongo ananipenda tena,sana
Mambo vipi Katoto kazuri
Unaendeleje mgonjwa?
Kiukweli nimesikitika sana kuachwa uende hospitali peke yako.
Katoto kazuri kanapokua kanaumwa inatakiwa kawe na mtu wa karibu wa kumuangalia na kumjulia hali mgonjwa.
Haiwezekani kwa hali uliyokua nayo eti uende mwenyewe hospitali huo sio utu kabisa,
Siku nyingine ukienda hospitali nijulishe ili nikusindikize, haiwezekani uteseke kwenye mafoleni ya hospitali peke yako haliyakua mimi nipo.
 
Huko wapi mtoa mada nije nikupeleke hospitali nikupetipeti nikununulie juice na chocolate [emoji515] ya madhiwa
 
Mambo vipi Katoto kazuri
Unaendeleje mgonjwa?
Kiukweli nimesikitika sana kuachwa uende hospitali peke yako.
Katoto kazuri kanapokua kanaumwa inatakiwa kawe na mtu wa karibu wa kumuangalia na kumjulia hali mgonjwa.
Haiwezekani kwa hali uliyokua nayo eti uende mwenyewe hospitali huo sio utu kabisa,
Siku nyingine ukienda hospitali nijulishe ili nikusindikize, haiwezekani uteseke kwenye mafoleni ya hospitali peke yako haliyakua mimi nipo.
Asante nitakujulisha hana shida kabisa ila
 
Njoo nikuoe mimi nitakuwa nakupeleka hospital ila sina hela
 
Back
Top Bottom