Mume wangu, nimechoka kukusubiri

Nimeanza kuamini wale wanaosema wanawake tuna lugha lainiiiiiii ya kumtoa nyoka pangoni 😂😂😂😂😊😊😊...cheki wakaka walivyojazana kwenye hii topic? Lol Wadada na wamama wa humu ndio tujifunze sasa,,,,, Mume anataka lugha lainiiii sio akija anakukuta na gubu! 😂😂😂😍😍😍
 
Kama naiona piemu yako ilivyo bize...

Ngoja tusubirie zile sredi za mrejesho zinazotumwa na wa upande wa pili....
 
Dear Nasu naona kama kuna mahali unadanganya!!
Je, umri wako unarudi nyuma au unaenda mbele?
Je, unakazi au unaomba boost ya mtaji?
 
Kama naiona piemu yako ilivyo bize...

Ngoja tusubirie zile sredi za mrejesho zinazotumwa na wa upande wa pili....
Kuna mahali huyu binti hasemi kweli...
 

Ona mineno ilivyokutoka km mama mwenye nyumba aliyekosa kodi yake,,,,,,,,,

Mnaaibisha mama zenu!...walidhalilishwa na baba zenu...na nyie mahusiano yenu hayana furaha sababu mmejifunza mwanamke ni mtu weak,asiyepaswa kuheshimiwa na kujaliwa,,,,,

Wewe muulize mkeo hapo akuambie ukweli kama huwa anakuelewa unavyo mtreat??? Jinsi ulivyo control freak.. usiejijua kwa nini uko hivyo lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…