Shoga utaambiwa we single maza Una stress za kutelekezwa[emoji2] [emoji2] [emoji2]Heheheheh kwani msiba ukizikiwa anakopenda mama mtoto kuna shida gani
Yaani hawa watu wote wanataka ufahari..hawakubali kushindwa miye,yaani ngoma droo!Kwan peter si alikuwa mae akiwa na mimba ama aje,casto mwenyewe kimyaa ahahahah kwani wakizika watapungukiwa nini
Alikuwa hospital gani Kenya maana hawasemiDaah!so saad!
Ila dogo alikua anaumwa kweli japo hapo walikua wamepanga wafanye show huko huko!
Haya maisha haya!
Makalio yao wanaosema hivyoShoga utaambiwa we single maza Una stress za kutelekezwa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
komea hapo hapo....mtoto ni mali ya baba DUNIANI KOTE. soma sheria za dini na za kidunia.Kwani muna akimzika mwanae kuna ubaya gani? Huyo peter si aende kwa muna si ana famili yake jamani,mwana ni wa mama mnatukana muna upande wa pili mwaujua acheni u..
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ila dah!Muna kajua kuliamsha dudeee!!!Makalio yao wanaosema hivyo
Kama wa nje mama ana sauti ila kama wa ndoani mtoto wa babaHeheheheh kwani msiba ukizikiwa anakopenda mama mtoto kuna shida gani
Katika hili nikuite msengerema kwa kumtetea huyu malaya wa kishetaniKwani muna akimzika mwanae kuna ubaya gani? Huyo peter si aende kwa muna si ana famili yake jamani,mwana ni wa mama mnatukana muna upande wa pili mwaujua acheni u..
Na bila Milly watu wasingechanga maana baada ya Milly ndo Zamaradi akaanzisha kampeni ya kumchangia...!!!
Yaani tafrani
TzshaderoomMamy Milly anatumia jina gani insta mana napitwa na mengi mie...
Af kinajifanya at kimeokokaNina hasira hapa nilipo huyo mjinga muna angekua ndugu yangu sa hivi nshamtembezea kichapo cha nguvu mchawi mkubwa yule
Na kusikitisha...Inatisha...
Hivi walokole kumbe hawana akili kiasi hiki?Af kinajifanya at kimeokoka
True walimrukisha stageHuyu mtoto hawakumtendea haki kabisa.. Walimnyima haki yake ya kuwa mtoto.. Shame on them..!