Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Kwan peter si alikuwa mae akiwa na mimba ama aje,casto mwenyewe kimyaa ahahahah kwani wakizika watapungukiwa nini
Yaani hawa watu wote wanataka ufahari..hawakubali kushindwa miye,yaani ngoma droo!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Tafrani tupu,ila wanaume sasa ndo wajifunze
 
Kwani muna akimzika mwanae kuna ubaya gani? Huyo peter si aende kwa muna si ana famili yake jamani,mwana ni wa mama mnatukana muna upande wa pili mwaujua acheni u..
Katika hili nikuite msengerema kwa kumtetea huyu malaya wa kishetani

Sweetheart nisamehe tu huyu kimburu kaniudhi kumtetea kahaba wa kishetani
 
Muna kakutana na wajanja; waliochangisha Pesa wanamzungusha, na yeye anabuy time kutomzika mtoto, na kumbe ndo tafrani inazidi kupamba moto..Bongo tamu🙂
 
Huyu jamaa mpaka kesho atahakikisha mambo yanaenda sawia
36026456_962514390595294_2497828919223255040_n.jpg
 
Wanawake wa bongo movie hawanaga akili hata kidogo
 
Back
Top Bottom