Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Angetumia busara kumpumzisha mwanae bila hii migogoro. Kha kama kisa rambirambi uwiiiii maajabu ya karne

Wanadai pia anamalizia mahitaji ya kumtoa kafara.. wamefikia wapi sasa na hii drama yake ya biashara kupitia mwanae?
 
Naanza kuamini maneno ya Waja kuwa amemtoa kafara mwanae
 
Huyu mwanamke anasabibishaa wanawake wengine wasiolewe kwa tabia za kipuuuzi..hizi.. KWA HALI HII KUOLEWAA ITABAKI STORI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…