Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Nazungumzia miwani ya picha ya chini hapo si ya marehemu.Huyo ndio Muna kwa wale mnaosema hamumjuiView attachment 803748View attachment 803749
Cc: Daudi Mchambuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazungumzia miwani ya picha ya chini hapo si ya marehemu.Huyo ndio Muna kwa wale mnaosema hamumjuiView attachment 803748View attachment 803749
NakupendaTena demi waambie kuwa ni wapuuzi kabisa hivi wanajua kulea mtto hao ukute wagumba ,,wanajaji tu muna mbaya mbaya shenziii zao kabisa,na ole wake mtu anichambe ukinichamba nakunywa maji nalala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuishi Tanzania raha sana hasa ukiwa na smartfon.Na huko Nairobi inasemekana kulikuwa na show ya Joel hakuna cha hospital wala nn Joel anampandishaga hiyo mtoto kwenye majukwaa ili atoe ushuhuda kama yeye ndio kamponya na Peter alikataa mtoto wake kwenda huko
Hivi ni drama gani kazifanya?Au nae si mwanae?? Maana mtu huwezi kufanya drama kama hizo wakati umefiwa na mwanao
Miss u too umenigayaI mis u darling.
Mim pia za masikuNakupenda
Angetumia busara kumpumzisha mwanae bila hii migogoro. Kha kama kisa rambirambi uwiiiii maajabu ya karne
Wanadai pia anamalizia mahitaji ya kumtoa kafara.. wamefikia wapi sasa na hii drama yake ya biashara kupitia mwanae?
Kivipi?mbona mnaaamini sana ushirikina
Habari za tegeta?Huyu kahaba amemtoa kafara mwanae
Duh!Hivi ni drama gani kazifanya?
Mbona unashangaa tena?Duh!
[emoji2] [emoji2] wewe ndo hutooa!!wanaume wapo watakaooa wanawake hao hao!Huyu mwanamke anasabibishaa wanawake wengine wasiolewe kwa tabia za kipuuuzi..hizi.. KWA HALI HII KUOLEWAA ITABAKI STORI
Imebidi nishangae, njoo PM nikuelezee maana hapa itaonekana nafanya marudioMbona unashangaa tena?
Rudia tu kwaajili yangu mkuuImebidi nishangae, njoo PM nikuelezee maana hapa itaonekana nafanya marudio
Serious?Rudia tu kwaajili yangu mkuu