Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]kumbe bibi alikua anajua Casto baba mtoto looh!hii familia jamani
 
Yaani na mange anatoa povu insta, muna hapana jamani anapata nguvu za kuchat na mange kha!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani daah!huyu Dada ni kiboko kabisaa

Anachat kabisaa kama hana akili nzuri vile hivi mfiwa huyu kweli au?!!

Casto anahojiwa clouds anakiri kumhudumia mwanawe[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]aibuuu!!!
 
Yaani nimejikuta nawaonea huruma hawa wanaume,ukweli anaujua muna na Mungu wake,sijui ataishije baada ya msiba maana amejua kuumbuka kwakweli.
 
Makubwa.... Mmmmhhh hivi wanapata wapi nguvu za haya mambo na akati wana msiba
 
Yaani nimejikuta nawaonea huruma hawa wanaume,ukweli anaujua muna na Mungu wake,sijui ataishije baada ya msiba maana amejua kuumbuka kwakweli.
Hata mama nae anawezaje kuruhusu mjukuu awe na baba wawili na wote wanahudumia?!!au ndo kitega uchumi
 
Ndiyo wanaume tujifunze inabidi kuishi na hawa wake zetu kwa akili sana.

Matukio kama haya ni vyema yanatokea katika uhalisia ili somo limuingie kila mmoja wetu.

Katika maisha hakuna kitu kibaya kama ukikosea kuoa ,itakugharimu sana.
 
36845576_242967519820029_5619420710553255936_n.jpg
36514492_1797096577046450_3396143783270678528_n.jpg
36149461_2072497023069556_61830362078117888_n.jpg
 
Back
Top Bottom