Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Just for meSerious?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just for meSerious?
For you in public!Just for me
Nadhani mzee majuto atafaa zaidiNauliza huko dar hakuna wazee watakao weza kumweka chini huyo mwanamke na kumtandika fimbo?
Yaani na mange anatoa povu insta, muna hapana jamani anapata nguvu za kuchat na mange kha![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]kumbe bibi alikua anajua Casto baba mtoto looh!hii familia jamani
[emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani daah!huyu Dada ni kiboko kabisaaYaani na mange anatoa povu insta, muna hapana jamani anapata nguvu za kuchat na mange kha!
Yaani nimejikuta nawaonea huruma hawa wanaume,ukweli anaujua muna na Mungu wake,sijui ataishije baada ya msiba maana amejua kuumbuka kwakweli.[emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani daah!huyu Dada ni kiboko kabisaa
Anachat kabisaa kama hana akili nzuri vile hivi mfiwa huyu kweli au?!!
Casto anahojiwa clouds anakiri kumhudumia mwanawe[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]aibuuu!!!
Makubwa.... Mmmmhhh hivi wanapata wapi nguvu za haya mambo na akati wana msiba[emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani daah!huyu Dada ni kiboko kabisaa
Anachat kabisaa kama hana akili nzuri vile hivi mfiwa huyu kweli au?!!
Casto anahojiwa clouds anakiri kumhudumia mwanawe[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]aibuuu!!!
Hata mama nae anawezaje kuruhusu mjukuu awe na baba wawili na wote wanahudumia?!!au ndo kitega uchumiYaani nimejikuta nawaonea huruma hawa wanaume,ukweli anaujua muna na Mungu wake,sijui ataishije baada ya msiba maana amejua kuumbuka kwakweli.
Hawana uchungu na msiba hawa!Makubwa.... Mmmmhhh hivi wanapata wapi nguvu za haya mambo na akati wana msiba
Hii familia ni janga kwakweli!Hata mama nae anawezaje kuruhusu mjukuu awe na baba wawili na wote wanahudumia?!!au ndo kitega uchumi
[emoji2] [emoji2] wewe ndo hutooa!!wanaume wapo watakaooa wanawake hao hao!
Mie sio msimbe kakaa!!!Tuanze na wewe.. Umeolewa.?.
Mie sio msimbe kakaa!!!
Ahsante kakaSafi sana..