Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mtumishi wa Mungu.Hivi Mbasha anafanya mishe gani maana anasifa sana na misuti yake ile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtumishi wa Mungu.Hivi Mbasha anafanya mishe gani maana anasifa sana na misuti yake ile
wabongo nyuzi kama hizi hamzipitishi bila kuulizia mibususu, tabia chafu sana hii.Hivi alisha date na Mbasha?
Hakika, huyu jirani kajibadilisha sana, ngozi mwili mpaka jina...Mambo yao waachieni wenyewe.
Mijitu ya aina hiyo imejaa mitandaoni.Anamaanisha
Anapenda kulitamka neno nampenda yesu afu na anayofanya tofauti hawatofautiani na mbasha anaimba injili ila matendo aibu
Mara ya mwisho kumuona ni ile siku aliyopigwa mtama wa haja na Adam MchomvuHivi Mbasha anafanya mishe gani maana anasifa sana na misuti yake ile
Tatizo nchi za Africa wengi hawana kipato cha kutosha cha gharama za plastic surgery wanafanya kwa gharama za chini na kuhatarisha miili yao
Baada ya mwaka jana kuweka wazi kuwa amefanya upasuaji (sajari) za dimpozi na umbile kwa ujumla, mwanamama Muna Love amejitokeza na kuwasihi watu kutofanya sajari kwani anajuta na kuahidi kuweka wazi madhara yake hivi karibuni.
Muna Love ambaye anadaiwa kulazwa hospitalini kutokana na madhara ya sajari ameandika ujumbe huu kupitia Insta Story yake;
“Achaneni na surgery. msifanye nitakuja kuwaeleza vitu vingi ninavyopitia. Nampenda Yesu, nawapenda…”
Unajua bana plastic surgery ni sayansi na pia ni sanaa. Yaani kuna watu ambao licha ya kua madaktari lakini ni "wasanii" wanaoweza "kucheza" na mwili wako na kuufinyanga finyanga kinamna namna mpaka vitu vikatokea.Tatizo nchi za Africa wengi hawana kipato cha kutosha cha gharama za plastic surgery wanafanya kwa gharama za chini na kuhatarisha miili yao
Brazil watu 1.2 millions wanafanya kila mwaka na hazina shida zozote kubwa.
Tz mpaka mtu adundulize hela za nauli na gharama za procedures Turkiye matokeo yake wanachagua cheap hospitals ambazo ni risks.
Hakuna uangalizi wa haraka TZ sababu hakuna hospital inatoa huduma hizo TZ.
Umasikini na kutaka makubwa ndio vinacost plastic surgery ni very simple procedures nchi zili
zoendelea na changamoto zake ni chache tu.
Mbona kuna Uzi humu uliletwa kuhusu wasanii walipfanya hayo marekebisho,akiwemo huyo uliyemtaja na mdogo wake, hamisa na umbile lake,tanasha pia nkHii ishu ya mastaa wa Bongo kufanya upasuaji wa miili yao imekuwa kama fasheni lakini ni wapuuzi hawa hawajui madhara ya hiyo kitu.
Nilikuwa nasoma alichoandika Muna Love kuwa anajutia alichokifanya, ngoja kwanza nimnukuu:
“Achaneni na surgery. Msifanye nitakuja kuwaeleza vitu vingi ninavyopitia. Nampenda Yesu nawapenda."
Kwanza namsikitikia na ninamuonea huruma kwa kuwa wakati mwingine ni ulimbukeni wa kutoelewa nini wanachokifanya.
Wasanii na mastaa wetu wa Bongo wana tamaa ya kuiga mambo mengi ya nje ambayo wakati mwingine hayana kichwa wala miguu.
Najua wapo wengi tu wanaofanya michezo kama hiyo, inawezekana sasa hivi hawaonekani kwa kuwa wapo bahati ilikuwa kwao hawajapata madhara ya mapema ila ipo siku wataibuka wengi tu kama alivyofanya Muna Love.
Mtu mwingine ambaye nina wasiwasi naye ni Irene Uwoya, nikiutamza ule mdomo wake hasa wa chin, kiukweli siuelewei kabisaaaaaa
Labda nakosea lakini nahisi kuna kitu kafanya kuuogeza huo mdomo, na kwa kuwa sasa hivi ana hela anaweza kuona poa tu na anao uwezo wa kufanya ‘service’. Kama hauniamini kautazama mdomo wa Uwoya ulivyo kwa sasa.
Mnona mapema saana, si alituahidi kuna nyingine inafuata baada ya dimpozi
Baada ya mwaka jana kuweka wazi kuwa amefanya upasuaji (sajari) za dimpozi na umbile kwa ujumla, mwanamama Muna Love amejitokeza na kuwasihi watu kutofanya sajari kwani anajuta na kuahidi kuweka wazi madhara yake hivi karibuni.
Muna Love ambaye anadaiwa kulazwa hospitalini kutokana na madhara ya sajari ameandika ujumbe huu kupitia Insta Story yake;
“Achaneni na surgery. msifanye nitakuja kuwaeleza vitu vingi ninavyopitia. Nampenda Yesu, nawapenda…”