Muna Love ajutia kufanya upasuaji wa kutengeneza mwili wake

Ni lini hiyo atakuja kuelezea hayo anayopitia?
 
Tatizo nchi za Africa wengi hawana kipato cha kutosha cha gharama za plastic surgery wanafanya kwa gharama za chini na kuhatarisha miili yao

Brazil watu 1.2 millions wanafanya kila mwaka na hazina shida zozote kubwa.

Tz mpaka mtu adundulize hela za nauli na gharama za procedures Turkiye matokeo yake wanachagua cheap hospitals ambazo ni risks.

Hakuna uangalizi wa haraka TZ sababu hakuna hospital inatoa huduma hizo TZ.

Umasikini na kutaka makubwa ndio vinacost plastic surgery ni very simple procedures nchi zili
zoendelea na changamoto zake ni chache tu.
 
Unajua bana plastic surgery ni sayansi na pia ni sanaa. Yaani kuna watu ambao licha ya kua madaktari lakini ni "wasanii" wanaoweza "kucheza" na mwili wako na kuufinyanga finyanga kinamna namna mpaka vitu vikatokea.

Sasa hao wenye hicho "kipaji" hua ni wachache na gharama zao zipo juu sana kutokana na "demand" yao kua kubwa. Wasanii wetu hawawezi kamwe kumudu gharama za hao "wataalamu" hivyo huangukia kwa kina fundi maiko ambapo sasa ni bahati nasibu unaweza kupata au kukosa.
 
Mbona kuna Uzi humu uliletwa kuhusu wasanii walipfanya hayo marekebisho,akiwemo huyo uliyemtaja na mdogo wake, hamisa na umbile lake,tanasha pia nk
 
Anampenda yesu yupi!?, Wanawake wengine bwana hawataki kikubali kwamba kunawakati wa kuwa binti, Mwanamke, Mama, Bibi. Uzee upo tu.
 
Mnona mapema saana, si alituahidi kuna nyingine inafuata baada ya dimpozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…