Muna Love: Wakati naolewa na Peter nilikuwa na mimba ya Casto ya miezi miwili

"Inaonekana peter alikuwa anakula ndugu wa muna"
No valid evidence, just theory tu means ulichokisema si kweli coz kama kinhekuwa kweli muna angesema.

Siko upande wa mtu yoyote. Kama Muna angekuwa mkweli toka mwanzoni haya yote yasinge tokea. Tatizo ni akili zake za urika njia mpaka yamekuja kumbumbuluka mwishoni.
Haijalishi anapenda au hapendi , she started it.
 
Kama alimwambia, lakin inaonyesha either alificha kwa sababu zake mwenyewe. Au alimwambia na baadae akaja kulivuruga mwenyewe akamwacha peter.
Simchukii muna, but she staryed it all.
 
Halaf ndio wanasema kaokoka...kweli ulokole unavunjiwa heshima sasa na hawa manabii wenu
 
Huyo muna hana akili na km huyo casto nae hawana akili, km kwel baba ni casto kwann kwnye msalaba wa marehemu uliandika jina la mtoto na jina la baba ambalo ni peter? Hawa uchafu wa mjini wanapenda kuona wanapewa attention sana ndio maana wengi wanaumbuka
 
Huyu malaya sidhani kuna mtu anayeweza kuvunja ndoa yake ila ataivunja yeye mwenyewe.
 
Kaongea sana huyo..mengine angeyaacha tu
 
Nadhani anaamini kajisafisha ila kwa sie walimwengu tunamchora na tutaongea mengi ya kuzidi kumuumiza. Sasa yote hayo anatueleza watanzania ili iweje? Alipaswa kuwaeleza watu wake wa karibu..am sure wangemuelewa vzr kuliko sie tusiomjua.
Kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…