myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Leo kaonyesha udhaifu wake mkubwa...Kweli unajidhalilisha zaidi pale unapotaka kuonewa huruma kwa uchafu uliofanya. Unaolewa na bwana mwengine ukiwa na mimba ya miezi 2 ya mwanaume mwingine. Huyo dada hana hata chembe ya aibu sijui ndugu zake wanajisikiaje wanvyosikia habari kama hizi.
Nimejaribu kumtafakari huyo dada nashindwa kumwelewa. Kufanya kosa la kwanza angalau halihesabiki kururdia jambo mara kadha hapo unaonekana una kosa. Hata urafiki naye unaonekana nawe walewaleAibu tupu ,hata watu wakiniona natoka huko naonekana akili sina.
Ameongea ili iweje eti.hivi peter akimshtaki kwa fraud atamlaumu nani maana alikuwa anatumia hadi bima ya kazini kwake huku Rita anabadili jina
Tutajie japo mmoja mkuu kama sio chai ya mdalasini hiiHayo mambo yapo,unakutana na Demu unampenda anakwambia ukweli mie "Nina mimba" kwakuwa unampenda na hautaki atoe kiumbe maana ni laana(Mikosi) unaamua kulea mimba na kumlea mtoto,nafahamu watu wengi waliofanya hizo issue,kwahiyo kama Muna alimwambia Peter basi hana Kosa hata kidogo.
Pale unapotambua ulifanya kosa dhambi ukaeleza kuna haja gani kurudia kama alichokifanya ni sifaWadau Muna ni Binadamu si malaika,yeyote hasio na dhambi awe wa kwanza kumtupia MUNA mawe,Tumpe faraja kwa maneno mazuri,bado hajakaa sawa,amepitia mitihani mikubwa sana,tumpe moyo tusimdhihaki,kama binaadamu yeyote ana mapungufu yake lakini isiwe kigezo cha kuzidi kumtia machungu.
Ndio amepitia stage za kidunia huko nyuma ila kwa sasa ,she is born again(Kaokoka),tumpe support katika kipindi hiki kigumu,hata haya anayoongea bado akili haijakaa sawa,anahitaji faraja asahau machungu,tunapozidi kumtupia mawe tunamuongezea machungu.
Mwache atoe ya moyoni ili awe free,huenda kuna vitu vilikuwa vinamyong'onyeza labda baada ya kutoa ya moyoni kwake ni relief,tusimbeze,hata angefanya press baada ya 40,tungesema hata mwaka haujapita? Kwa yeye wiki mbili ameona sawa kutoa ya moyoni.
Ni Hayo tu.
Hata sisi tunaishi na nyie kimachale sanaUsimwamini mwanamke, ishi nae kwa akili kama Mungu alivyoagiza.
sijui watu wanaokotaga wapi wanawake wa aina hiiYou what? Desperate can not be repaired through press conference in public what a shame vitu vya ndani ya ndoa unavileta in public kweli wanawake mna matatizo sana na ndiyo maana ndoa zenu zipo in bad shape
Tatizo sio waandishi tatizo ni mlengwa mtafut kiki what a shameWaandishi wa habari wa Bongo wengi darasa la saba braza
Family disputes can not be resolute in public conferences only few men can side with this ongoing foolish kiki ya munaNaendelea kumpa Pole MunaLuv kwa mitihani aliyopitia,kwasisi watu tuliopitia mafunzo ya saikolojia/forensic na ubashiri uliotukuka kwa maelezo ya muna ambayo hajaweka wazi,inaonekana Peter Zakaria alikuwa anakula Ndugu wa Muna na ndio kisa kilichomfanya atengane nae.
Muna hakumpenda peter it was short term relationshipHayo mambo yapo,unakutana na Demu unampenda anakwambia ukweli mie "Nina mimba" kwakuwa unampenda na hautaki atoe kiumbe maana ni laana(Mikosi) unaamua kulea mimba na kumlea mtoto,nafahamu watu wengi waliofanya hizo issue,kwahiyo kama Muna alimwambia Peter basi hana Kosa hata kidogo.
TrueUsimwamini mwanamke, ishi nae kwa akili kama Mungu alivyoagiza.
It is all true... Hii kitu nilishaambiwaga na mtumishi wa Mungu alisema mtoto akipitia mengi magumu basi Mungu baba atamchukuaHakuna mwanamke mjinga kama huyo muna,
Kwanza tu kitendo cha kumgeuza mtoto superstar bila kupenda ni ujinga uliovuka mpaka na haki za mtoto,
No wonder mungu akaamua mtoto apumzike
Kweli kweli mimi huyu dada hata bure hapana aiseeehhhsijui watu wanaokotaga wapi wanawake wa aina hii
yaani hata salamu yake sitaki.Kweli kweli mimi huyu dada hata bure hapana aiseeehhh
Hhahahaa dah mtu wangu i mic u, umeongea point ndiyo maana nimekuona harakaPale unapotambua ulifanya kosa dhambi ukaeleza kuna haja gani kurudia kama alichokifanya ni sifa
Binadamu tunatenda dhambi lakini ukigundua dhambi hiyo unatakiwa kuacha na kujifunza zaidi
I see. Habari ya muda hata mie nimekumiss. Ndio maana tunaambiwa baada ya msamaha enenda zako usitende dhambi tena. Sasa unaita hadi waandishi wa habari daahhHhahahaa dah mtu wangu i mic u, umeongea point ndiyo maana nimekuona haraka