Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kabisa thibitisha huyo Mungu yupo kweli.Mungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane.
Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
Mungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane.
Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
Ni mtindo wa maisha ambao tumerithi kutoka kwa tuliowakuta, BUT wewe pia unaweza kuanzisha mfumo wako na ukausimamia vizuri na baadae kizazi chako kikaufuata. Uko huru 100% kwenye hili.Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
Huu uzi umefungua bila kutumia akili chembeMungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane.
Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?