Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

Ulimwona ameshika bunduki iliyofyatua risasi?
ID yako haiendani na unachokiandika.....intelligence justice sounds like one who has gone to school and can reason out, integrate issues, etc. Rais hashiki bunduki ana majeshi ya kupiga bunduki kwa niaba yake. Come to your senses, please
 
Hawa ni wale nyoka wenye vichwa viwili
Na ni watu ambao wapo kwenye maisha yako yote hapa duniani na watajianika / julikana pale utakapokumbwa na jambo baya au umauti.

Kiufupi ni watu hatari kuliko hatari yenyewe.
 
Na ni watu ambao wapo kwenye maisha yako yote hapa duniani na watajianika / julikana pale utakapokumbwa na jambo baya au umauti.

Kiufupi ni watu hatari kuliko hatari yenyewe.
Umesema kweli na kitu cha maan sana mkuu.
 
Mungu fundi sana,yule ibilisi aliivuruga sana nchi hii
 
Naamini una uwezo ya kuandika mambo ya maana. Umepata nini kuandika hivyo? Nipo JamiiForums tangu 2009, unadhani nababaishwa na tusi lolote? Pole yako🤣🤣
Msamehe bure akijitambua atabadili tabia na kujifunza namna bora ya kuchangia.
 
Chawa promax Magufuli ndio kahamishia wamasai Tanga. Magufuli ndio anaekata umeme na maji hadi leo
yeye ndiyo aliyeamuru Tundu lisu apigwe risasi kama jambazi wakati alikuwa anatoa maoni yake juu ya ulaghai wa makinikia
yupo wapi ben sanane? aliuwawa/kupotea baada ya kuhoji PhD fake ya Magufuli. mawaziri wake nao wakamuiga mf mwigulu
anzori Gwanda aliuwawa kwa kuripoti mauaji ya MKIRU alishawahi sema kwann wana riport wa ccm tu?
hakuna uchawa hapo ni ukweli tu
 
Dah Mungu anaingizwaje sehemu kama hii, labda Mungu sio huyu anaefahamika bila shaka kuna mungu mtu hapa anazungumziwa nae hataishi ishi milele mwisho wake utafifika na sote mwisho wetu utafika ila tufanye mema kwaajili ya nchi yetu na vizazi vijavyo.
 
Ukweli magu alikua na mabaya yake mengi tu na wengi waliteseka juu yake ila kashaenda zake hebu tupunguzage kumsema sema mwishoe tutasema na yauongo ilimradi kuonyesha chuki zetu kwake wakati yeye hayupo. Now kupambane kutatua maswala ya bei kupanda kwenye bidhaa na swala la umeme na maji ya uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…