Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

Swali ni kuwa Baada ya Magu kufa, Nchi imepona? Kuugua kumekoma???

Uwe na HAKIKA ataendelea kufanya maamuzi Hadi pale watu watakapoacha KUUGUA!!!

Hadi pale MATESO Kwa watu wa Mungu yatakapokoma ktk Nchi.

Ameeeeen.
 
Kwani vyeti fake hamjapewa mafao yenu mpaka saa hii?inaonekana mna stress sana
Wewe NDIO mwenye hitilafu nchi nzima ililipuka yule mwovu ibilisi alipolamba mchanga
Nchi ililia Kwa Uchungu kumpotezea SHUJAA wa Afrika.

Geti la Airport likivunjwa na umati w watu waliotamani angalau kumuaga shujaa wao.

Ni Kweli Uncle alikuwa na mabaya yake, bt MAZURI yake yalikuwa mengi zaidi.

Mungu hafurahii KUFA Kwa Mwovu, sababu aliwaumba wote, hupenda wabadilike na kutubu.

HAKIKA, AJAYE atakuwa, MZALENDO, mwenye Uthubutu, mchapa KAZI kama magufuli.

Ameeeen.
 
Jiwe alikuwa kiboko ya

Wavivu
Mafisadi
Watanzania ambao sio wazalendo

Jiwe Alitufanya tujue kuwa CHADEMA ni wavivu pale waliposhindwa hata kujaza formu za uchaguzi za serikali za mitaa

Jiwe alitusaidia Kujua kuwa CHADEMA ni mafisadi kwa kutumia ruzuku ya chama kwa manufaa yao badala ya kujenga chama hadi badhi ya wabunge wao wakahamia ccm

Jiwe alitusaidia Kujua kuwa CHADEMA sio wazalendo pale walipowambi wazungu wakamate ndege zutu na kuwatetea Acacia waliyokuwa wanatuibia dhahabu zetu

Eeeeee! Mungu muumba mbingu na aridhi tunakuomba utuletee Raisi mwingine kama Magu aje kuwanyoosha mafisadi, wavivu, wazembe na watu wasiokuwa na uzalendo kama Lisu
 
Umepanic Mkuu, huna sababu ya kutukana. Umejidhalilisha na watu wanakucheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

anayekwambia unanuka mdomo,anakujali kuliko wanaodhani kakudhalilisha.

Magufuli ni jina kubwa sana,msilichezee mtaanguka vibaya mpasuke vipande.
shida ni kwamba kwa ujinga mwingi mlio nao hamjui tofauti ya siasa na uhalisia.
 
Sasa muombeni tena mungu awaondeleeni athari za kusaikolijia mlizopata kutokana na utawala wa Magufuli, mtakuja kunishukuru. Maana ni kweli Magufuli hayupo tena ila bado zile athari za kisaikolojia zinaendelea kusumbua hazijapatiwa tiba.
 
Liko linasubiri kuhukumiwa adhabu ya kifo mpaka kunyongwa kufa
Kwa akili yako wewe si dhani kama wewe ni mtu wakufika 2023 haujapata jambo lolote mbaya nipo hapa Mungu tu akusaidie kifo ni halali
 
Vita ya marehemu dhidi ya walio hai, futi sita hata wewe utakwenda, trust me wapo watakaosikitika na wapo watakao furahi, ndio dunia ilivyo.
 
Naona umeamua kuwachokoza sukuma gang makusudi.
 
Mkuu unafuata wewe ili CCM wafurahi. Vipi tukuchongee jeneza la futi ngapi
 
Mda huu amelala mchangani ila bado kuna watu anawashughulikia invisibly wakilala usiku haunogi wanamuota anavyowachachafya huko ndotoni, figganigga sijaelewa hapo kwenye kuhusu maji na umeme umesemaje?
Unauhakika mule ndani waliweka mchanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…