Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee, ikiwa yeye ndie Mungu Sadaka aliitoa kwa nani?

ukweli ni Mungu kumtoa sadaka mwanae anae mpenda baada ya hesabu zake kushindwa
 
π‘¨π’Šπ’”π’†π’† π’π’Šπ’Žπ’†π’”π’π’Žπ’‚ π’Žπ’‘π’‚π’Œπ’‚ π’Žπ’˜π’Šπ’”π’‰π’ π’‰π’‚π’Œπ’–π’π’‚ π’‚π’π’Šπ’‹π’–π’•π’‚π’‰π’Šπ’…π’Š π’Œπ’–π’‹π’Šπ’ƒπ’– π’‹π’‚π’Žπ’‚π’π’Š
 
Shetani alipotoroka mbinguni, aliondoka na ufunguo wa kuzimu, hivyo ufufuko wa wafu ulikua haiwezekani mpaka shetani anyang'anywe funguo. Ndio mana wale ambao Mungu aliwapenda Sana aliwachukua mbinguni moja kwa moja mfano Musa na Eliya na ndio maana hawa waliweza kumtokea Yesu mlimani.

Yesu alipokufa alienda kufanya vita kuzimu na kuchukua ufunguo wa kuzima, MATHAYO 27:52 alisema baada ya Yesu kufa watakatifu waliokufa walianza kutoka makaburini, hiyo ni lugha ya alama kwamba Yesu ameshinda vita kuzimu.

Kujitoa toa kwake sadaka ni kukubali kufa ili afike kuzimu kuchukua funguo ya ufufuo na uzima, manake kama angeshindwa vita angebakia huko huko kuzimu kama watakatifu wengine
 
Mungu anaupendeleo ? Kwanini malaika wote wanamajina ya kuzungu hakuna hata mmoja mwenye jina la kibantu, kwanini kusiwe na malaika NGALALAKUMTWE ? Lakin kina malaika gabriel ndio wapo, kuna kitu wazungu wanatuficha tunadanganywa sana aisee
 
Shetani ni mungu wa dunia hii kwa wasio na Yesu,So alitolewa ili kuleta ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi.
So Yesu ni sadaka ya upatanisho baina ya Mungu na mwanadamu
Kwanini Mungu asimmalize shetani moja kwa moja tuish kwa amani ?
 
Kwahiyo shetani kamuibia Mungu funguo? sasa wakati shetani anaiba Mungu alikuwa amelala au amevimbiwa ubwabwa?
 
Walau umejibu swali kwa sehemu
Hiyo sadaka Nani aliipokea
Nafikiri swali liko hivyo pia
 
Ukiambiwa dini ni hadithi za sungura ukubali tu, ndio hayo maswali yasiyo na majibu. Unaambiwa amini tu nawe unakubali kama "ZUZU ".
 
Walau umejibu swali kwa sehemu
Hiyo sadaka Nani aliipokea
Nafikiri swali liko hivyo pia
haya mambo ni ya rohoni. Kristo kama sadaka, sio kitu kinachopokewa kwa mikono. mambo ya rohoni tusiyawaze kimwili. hatutoelewa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, leo nimepata wa kunisaidia, mimi ni kihoji juu ya utaahira wa hicho kitabu watu huwa wananishangaa tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…