Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee, ikiwa yeye ndie Mungu Sadaka aliitoa kwa nani?

Ukweli ni kwamba waislamu wapo chaka sana kuhusu ukweli wa mambo ya Mungu. Allah sio Mungu Mwenyezi kama wanavyofikiri huyu ni kiumbe wa Mungu Mwenyezi aliyeasi na kuja kwa watu kama Mungu. Watu hawa wapo kwenye uongo mkubwa mno na ni vigumu sana kuona ukweli huu.
ukweli ni Mungu kumtoa sadaka mwanae anae mpenda baada ya hesabu zake kushindwa
 
𝑨𝒊𝒔𝒆𝒆 𝒏𝒊𝒎𝒆𝒔𝒐𝒎𝒂 𝒎𝒑𝒂𝒌𝒂 𝒎𝒘𝒊𝒔𝒉𝒐 𝒉𝒂𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒂𝒍𝒊𝒋𝒖𝒕𝒂𝒉𝒊𝒅𝒊 𝒌𝒖𝒋𝒊𝒃𝒖 𝒋𝒂𝒎𝒂𝒏𝒊
 
Shetani alipotoroka mbinguni, aliondoka na ufunguo wa kuzimu, hivyo ufufuko wa wafu ulikua haiwezekani mpaka shetani anyang'anywe funguo. Ndio mana wale ambao Mungu aliwapenda Sana aliwachukua mbinguni moja kwa moja mfano Musa na Eliya na ndio maana hawa waliweza kumtokea Yesu mlimani.

Yesu alipokufa alienda kufanya vita kuzimu na kuchukua ufunguo wa kuzima, MATHAYO 27:52 alisema baada ya Yesu kufa watakatifu waliokufa walianza kutoka makaburini, hiyo ni lugha ya alama kwamba Yesu ameshinda vita kuzimu.

Kujitoa toa kwake sadaka ni kukubali kufa ili afike kuzimu kuchukua funguo ya ufufuo na uzima, manake kama angeshindwa vita angebakia huko huko kuzimu kama watakatifu wengine
 
Mungu anaupendeleo ? Kwanini malaika wote wanamajina ya kuzungu hakuna hata mmoja mwenye jina la kibantu, kwanini kusiwe na malaika NGALALAKUMTWE ? Lakin kina malaika gabriel ndio wapo, kuna kitu wazungu wanatuficha tunadanganywa sana aisee
 
Shetani alipotoroka mbinguni, aliondoka na ufunguo wa kuzimu, hivyo ufufuko wa wafu ulikua haiwezekani mpaka shetani anyang'anywe funguo. Ndio mana wale ambao Mungu aliwapenda Sana aliwachukua mbinguni moja kwa moja mfano Musa na Eliya na ndio maana hawa waliweza kumtokea Yesu mlimani.

Yesu alipokufa alienda kufanya vita kuzimu na kuchukua ufunguo wa kuzima, MATHAYO 27:52 alisema baada ya Yesu kufa watakatifu waliokufa walianza kutoka makaburini, hiyo ni lugha ya alama kwamba Yesu ameshinda vita kuzimu.

Kujitoa toa kwake sadaka ni kukubali kufa ili afike kuzimu kuchukua funguo ya ufufuo na uzima, manake kama angeshindwa vita angebakia huko huko kuzimu kama watakatifu wengine
Kwahiyo shetani kamuibia Mungu funguo? sasa wakati shetani anaiba Mungu alikuwa amelala au amevimbiwa ubwabwa?
 
Waebrania 9 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹³ Kwa maana, ikiwa damu ya mbuzi na mafahali na majivu ya ndama ya ng'ombe waliyonyunyiziwa wenye uchafu hutakasa hata kuusafisha mwili;
¹⁴ basi si zaidi damu yake Kristo, ambaye kwamba kwa Roho wa milele alijitoa nafsi yake kwa Mungu kuwa sadaka isiyo na mawaa, itawasafisha dhamiri zenu na matendo mafu, mpate kumwabudu Mungu aliye hai?
¹⁵ Na kwa sababu hii ni mjumbe wa agano jipya, ili, mauti ikiisha kufanyika kwa kukomboa makosa yaliyokuwa chini ya agano la kwanza, hao walioitwa waipokee ahadi ya urithi wa milele.
Walau umejibu swali kwa sehemu
Hiyo sadaka Nani aliipokea
Nafikiri swali liko hivyo pia
 
Ukiambiwa dini ni hadithi za sungura ukubali tu, ndio hayo maswali yasiyo na majibu. Unaambiwa amini tu nawe unakubali kama "ZUZU ".
 
😂😂😂😂😂😂😂😂, leo nimepata wa kunisaidia, mimi ni kihoji juu ya utaahira wa hicho kitabu watu huwa wananishangaa tu..
 
Back
Top Bottom